Mbunge Mwita Waitara (CHADEMA) ni mfano kwa jamii

Dr.Bilal alikuwa anashusha nondo udom na hakupiga selfie, Dr.Limbu na Prof.Ndalichako bado wanakamua udsm, halafu mtu anakokotoa namba za form two selfie kila kona hizo ni dalili za kukosa kazi. Yuko mwingine anazunguka na team chawema angalau aonekane kwenye magazeti ya shigongo.
1. Dr Bila akifundisha hizi simu hazikuwepo au ndio zilikuwa zinaingia

2. Unajua maana ya Selfie? Bashite tuna wengi
 
Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?

Hili povu vepeeee
 
Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
Serikali imesema waalimu wapo wa kutosha. Sasa anaprove wrong.
 
Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
Punguza Wenge Akachundiche ndiyo nini?
 
We akili huna kabisa Mwita asimamie serikali na iajili kwani haisomeshi mbona graduate wapo kibao na wanazurura mtaan na serikali yako haijawaajiri? Badala ya kuishaur serikali unamlaumu mwita bashite mkubwa wewe!
 
Kumbe wanaruhusu kupiga picha darasani ukiwa unafundisha na kuisambaza kwenye mitandao eeeh!!!
Ndio mara ya kwanza unaona picha ya mwalimu akifundisha darasani, au kwa sababu picha hiyo ni ya Mwalimu Waitara, mbunge wa Chadema?
 
Mbunge wa Ukonga mwalimu Mwita Waitara CHADEMA akifundisha somo la hesabu katika shule ya sekondari Chanika leo.

View attachment 481820

Je, serikali tatizo la walimu wa sayansi na hesabu nadhani limekwisha.

What a shame, serikali ya ajabu sana hii.
sio tatzo la serikali tu...tatzo la jamii kwa ujumla kuogopa masomo ya sayansi...watu wanakimbilia HGL and the likes wanaogopa Mziki wa PCM & PCB...ss unadhani walimu wa sayansi watapaikana vipi?kila mwanafunzi ukimgusa anaogopa hesabu,na wanaofaulu hesabu wanaenda kusoma engineering na sio education...ss unadhani hao walimu serikali itawazalisha kutoka hewani?we need to change our mind set kuwaza positively na tuache kulaumu serikali kwa kitu na kusahau majukumu yetu km jamiii...anza kwa kuwafanya wadogo zako & wanao wapende masomo ya sayansi....
 
Mie sikumuelewagi kabsa uncle Magu alivotimua wale wanafunzi pale UDOM, suala la ukosefu wa walimu lingekuwa lishaisha ss, wale ambao walikuwa hawana qualification wangeambiwa walipe wakiwa kazin na wangekuwa demoted

thats all, ila kila shule ingepata hata walimu wa2/3 wapya
Chukua idadi ya wanafunzi waliofukuzwa UDOM afu gawanya kwa idadi ya shule za secondary afu uniambie hii hesabu uliotoa hapa itakuja sawa au na ww ni wale wale mliokimbia hesabu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom