Mbunge Mlinga: Vita ya madawa imeibuka tuu ila Makonda ana yake binafsi

Ndo hivyo mkuu Sheria ifate mkondo wake sio kwa style iliyotumika ambayo haikufata misingi na utaratibu wa kisheria!!! Kama mtu anahusika na aadhibiwe vilivyo na kama ahusiki basi asafishwe vilivyo baada ya kuchafuliwa majina yao!???
Sheria ipi ilivunjwa?
 
Maneno mazito ya mlinga hayo mwambie huyo chura aache ujinga kwenye mambo ya kitaifa
Hivi mnataka Watanzania waangamie mpaka.We are fed up with this nonsense.Hata ikibidi Duterte style,fine.
 
Siku hizi naanza kumeelewa mlinga, ukweli sasa ameanza kupevuka, Ila ccm mtu wa namna hii huwa hawamtaki kumsikia, subiri kama hajaitwa kutulizwa mtaona, mlinga Ana maana sana kuzidi lusinde
wewe unamsifu kwa sababu zako.wakati akichangia alisifu vita dhidi ya madawa.ikapita siku moja ikatajwa orodha ya mapapa akabadilika.vita akaibadilisha ikawa ..........utamuweka kundi gani akiwa ni kama mbuge wako?au ana..........nayeye?
 
Haya ni maigizo ulishawahi kuona wapi duniani vita ya madawa inapiganwa kwa staili ya Makonda? Kiki zingine za kipuuzi sana.
Mkuu sijawahi kusikia style hii ya makonda hata marekani mpaka leo inawatafuta magwiji wa dawa za kulevya lakini hawatajwi majina mpaka pale atakapokamatwa
 
Kama style hii ya makonda ingetumiwa na Polisi kuwatafuta majambazi sidhani kama kuna jambazi angepatikana zaidi ya kuwasaidia kukimbia
 
Kama umefatilia kilicho Jiri Jana na Leo ndo utaelewa kama Sheria ilivunjwa! Na je? Mbona Leo majina 97 hayakutajwa tena kama walivyo tajwa wengine???
Si kwa sababu ya kuvunja sheria ndugu, ni kuheshimu mamlaka iliyoteuliwa. Hakuna sheria iliyovunjwa. Kiboko na Chidi wameitwa hadharani leo, je sheria imevunjwa?
 
Back
Top Bottom