Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

Wanabodi,

Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado sijapokea taarifa rasmi, naomba kwa sasa, nisijibu chochote kuhusu wito huo, ila hapa nina ka swali kadogo.

Kama Habari imeandikwa "Bunge Linajipendekeza?", halafu akaibuka Mhe. Mbunge na kusema mwandishi na gazeti limeandika "Bunge Linajipendekeza". Mbunge wa aina hii ukimuita ni mbunge kilaza, jee itakuwa ni kumuonea?, ni kumkosea?.

Pascal

Mkuu Paskali Nenda wala usiogope, kwani uwezo wao wa kuelewa hata kwa hili umejionyesha. Wanachoweza kutambia ni madaraka waliyonayo lakini ukweli ni kuwa wanauelewa mdogo. Na hilo la kukuita ni kutaka kukutia uwoga ili usiendelee kuanika udhaifu wao. Ki ukweli hilo bunge halina meno na linatii kila kinachosemwa na serekali.
 
Wanabodi,

Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado sijapokea taarifa rasmi, naomba kwa sasa, nisijibu chochote kuhusu wito huo, ila hapa nina ka swali kadogo.

Kama Habari imeandikwa "Bunge Linajipendekeza?", halafu akaibuka Mhe. Mbunge na kusema mwandishi na gazeti limeandika "Bunge Linajipendekeza". Mbunge wa aina hii ukimuita ni mbunge kilaza, jee itakuwa ni kumuonea?, ni kumkosea?.

Pascal
Pengine hajui alama kuuliza?
 
Hata hujamwonea
 
Ndio utakuwa umemuonea,kwani hujatumia lugha ya kistaarabu,hicho ndicho tunachokipinga kila siku kwa mtu kutumia nafasi yake kumdhalilisha mwingine kwa kumuita majina ya kejeli,na kwa mwandishi wa habari nguli kama wewe kumuita mheshimiwa mbunge Kilaza kisa tu kakusema ,hakuna asiyekosea lakini hakukupi fursa ya kumkejeli aliyekukosea,mnaonyesha tabia mbaya kwa vijana wetu,wala haipendezi unapokimbilia kwenye jukwaa hili ili uungwe mkono,kama hutakiwi kutojibu chochote uzi huu umeuleta wa nini hapa,si ungekaa tu kimya?
 
Wanabodi,

Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado sijapokea taarifa rasmi, naomba kwa sasa, nisijibu chochote kuhusu wito huo, ila hapa nina ka swali kadogo.

Kama Habari imeandikwa "Bunge Linajipendekeza?", halafu akaibuka Mhe. Mbunge na kusema mwandishi na gazeti limeandika "Bunge Linajipendekeza". Mbunge wa aina hii ukimuita ni mbunge kilaza, jee itakuwa ni kumuonea?, ni kumkosea?.

Pascal
Tatizo langu sio huyo mbunge..kwani kwa aina ya wabunge tulionao mle 'of the likes of'..Msukuma, Lusinde tusishangae upumbavu kama huu...pengine mimi namshangaa 'Mwenyekiti' kwa kulipa nafasi hili swala ...ila pengine kwa kuwa ametoka matibabu hivi karibuni pengine sio makosa yake..tunaelewa matibabu mengine 'yanaside effects' mbali mbali moja wapo nikuwa na hasira za mara kwa mara, kupungukiwa uwezo wa kufikiri na kusahau mambo ya msingi....
 
Wanabodi,

Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado sijapokea taarifa rasmi, naomba kwa sasa, nisijibu chochote kuhusu wito huo, ila hapa nina ka swali kadogo.

Kama Habari imeandikwa "Bunge Linajipendekeza?", halafu akaibuka Mhe. Mbunge na kusema mwandishi na gazeti limeandika "Bunge Linajipendekeza". Mbunge wa aina hii ukimuita ni mbunge kilaza, jee itakuwa ni kumuonea?, ni kumkosea?.

Pascal
Hawana uwezo wa kutofautisha kati ya swali, maoni, msimamo na kauli.
 
Back
Top Bottom