Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,911
- 119,823
Wanabodi,
Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado sijapokea taarifa rasmi, naomba kwa sasa, nisijibu chochote kuhusu wito huo, ila hapa nina ka swali kadogo.
Kama Habari imeandikwa "Bunge Linajipendekeza?", halafu akatokea Mhe. Mbunge, akasoma headline tuu na kusema mwandishi na gazeti limeandika "Bunge Linajipendekeza", na kwenda moja kwa moja kuomba muongozo kwa kutumia ile statement tuu, bila ya ile alama ya kuuliza!.
Sasa Mhe. Mbunge wa aina hii ukimuita ni mbunge zuzu, au ni kilaza, je itakuwa ni kumuonea?, au ni kumkosea?.
Pascal