Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 25,994
- 19,056
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa katika miaka hii mitatu yamekuwa ni makubwa sana na kuwa kama ndoto au miujiza kwa wananchi wengi na waheshimiwa wabunge katika Majimbo yao.
Hali hii ndio imepelekea na kuchochea sana watu na wananchi mbalimbali bila kujali itikadi za kisiasa kummiminia sifa na pongezi Rais wetu Mpendwa kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. kuanzia miradi ya barabara,Elimu,afya, Umeme,n.k.
Hivi ndio sababu wabunge wamekuwa wakishindwa kujizuia hisia zao za furaha pale wanapotembelewa na Mheshimiwa Rais majimboni kwao. Sasa katika muendelezo huo wa shukurani kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa.
Mheshimiwa Mbunge wa Mbinga Injinia Stella Manyanya Amelala Chini kabisa mbele ya Rais Samia kumshukuru sana kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo lake.miradi hiyo ni pamoja na mradi mikubwa wa ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay,Ujenzi wa barabara kutoka Mbinga hadi Mbamba Bay yenye urefu wa takribani kilometa 66 na miradi mingine mingi sana .
Kumbukeni hata mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Bagonza naye Amemmiminia sana sifa na pongezi Raisi Samia kwa ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.kwa hakika unaweza kusema kuwa Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Soma Pia:
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

- Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025