Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini

Huku ni kuishiwa hoja. Yaani kiongozi wa kata ndiyo anaripotiwa hapa na kudai kwamba hiyo ni catch kwa chama. Hebu tuondoleeni vihoja uchwara hapa.

hao viongozi wa kata ndio tunaowatafuta wakihamia cdm tu tunawatangaza na ikiwezekana tunaleta thread hapa. Kiongozi wa kata ana vijiji vitatu mpaka nne chini yake na kila kijiji kina wastani wa wakazi 3,000-6,000X3 =(9,000-18,000) idadi hiyo ya watu ni wengi sana kwa hiyo lazima kiongozi wa kata ni mtu muhimu na cdm tunawathamini.
 
Kwanini sisiem isipotee ktk ulimwengu wa siasa kama chama cha majirani we2? Leo hii KANU iko wapi? Hata sisiem watatoweka tu! Na ukizingatia wanajifanya wajanja lakini mwisho wao waja hakika. Na ikiwezeka na viongozi wote wa juu wote peleka The Hague!
 
Mbona huko magamba kuna wanaume wanaji-cream hamsemi? Yupo Nape na Martina Shigela hawa hamuwaoni mna muona Chiku tu? Wacheni hizo nyie magamba.

Wenzake "wanalia kivulini" yeye kwa hizo kazi mbona atakoma.
Halafu vijiji ni vingapi vinavyoongelewa hapo?!
 
Wenzake "wanalia kivulini" yeye kwa hizo kazi mbona atakoma.
Halafu vijiji ni vingapi vinavyoongelewa hapo?!

Mkuu huwezi kufika mia kabla ya kuanza na moja. Hapo kwenye red ujue hizo wanazolia kivulini zimejaa damu ya watu wasiokuwa na hatia.
 
Kama wabunge wa chadema wangezama vijijini kama chiku abwao mbunge wa Iringa akiwa na
gari yake ndogo aina ya suzuki kwenye roof ikiwa imezungukwa na maspika na bendera za chadema.
mama huyu kazi yake ni moja tu nayo ni kuibomoa CCM Iringa vijijini na hasa eneo la Kalenga.
ningependa wabunge wa chadema wafuate nyayo za huyu mama waache siasa za maofisini na kuzama vijijini.

JEMBE LA CHADEMA HUKO KALENGA.
mbunge Chiku Abwao baada ya kazi nzito ya kujenga chadema vijijini leo


Wafuasi wa Chadema kata ya Luhota wakisukuma gari alilopanda mbunge wao Chiku Abwao leo


Matembezi ya kwenda kufungua ofisi ya kata ya Chadema kata ya Luhota jimbo la Kalenga leo



Mbunge Chiku Abwao akimwaga noti na bendera za Chadema kwa ajili ya kuchangia ufunguzi wa ofisi kata ya Luhota leo


Wananchi wakiandamana kwenda kufungua ofisi ya Chadema vijijini kwenye kata ya Luhota jimbo la kalenga wilaya ya Iringa vijijini leo



Gari la mbunge Chiku likisukumwa leo



Katibu wa chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo akimkaribisha mbunge Chiku Abwao leo
CHADEMA cha demokrasia na maendeleo (chadema) wilaya ya Iringa vijijini kimeanza kukibomoa chama cha mapinduzi (CCM ) baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi kata ya Luhota na mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM wilaya ya Iringa vijijini Sihuna Kapalampya kuhamia Chadema na kuwa mwenyekiti mpya wa Chadema kata ya Luhota .

picha hizi kwa hisani ya www.francisgodwin.blogspot.com mwandishi nguli huko Nyanda za juu kusini.

Hii ni shughuli pevu, atafanikiwa.
 
Back
Top Bottom