uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 16,937
- 32,200
Wito kwa Mbowe,tafadhali wahimize wafuasi wa Chadema kufanya kazi ili wajikimu kwani wengi wanafikiria kutofanya kazi wanamkomoa Rais Magufuli na CCM.
Wimbi kubwa la vijana wanaojifanya wanaharakati na wengine ni watu wazima wameacha shughuli za kiuchumI na ajira wanafanya siasa zisizo na Kipato kwa ahadi hewa toka kwa viongozi wa Chadema ambao wenyewe wanafanya biashara na kilimo,huku wakiwarubuni vijana waache ajira ili "wajenge chama" matokeo yake wame kuwa ombaomba.
WakatI Umefika Mbowe u wa ambie UKweli la sivyo siku akili zikiwajia hawatahitaji kingine zaidi ya roho yako.
Haya matusi Kaka, kwa hiyo wana Chadema vijana wengi hawafanyi kazi? hemu nenda mahali mingi CCM imeshinda kama ujakuta mabao na draft saa 5 mchana wakati wa kazi.