Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 494
Unadhani unapo mkataa mtu kama Sophia Simba katika chama unawakataa watu wangapi? kumbuka kuna watu wako nyuma yake ambao wanamwamini kwa kile anachokisema,,amekuwa waziri na amekuwa kiongozi wa wamama kwa hiyo ni mtu mwenye ushawishi mkubwa sana hasa katika mambo ya siasa za Tanzania,,,,sijaona tatizo kwa walifukuzwa CCM kuhamia CDM maana wanaongeza nguvu na idadi ya wapiga kura,,,,,,,Nashanga sana kwaiyo chadema imekua jalala la kutupia taka !!!!!!!
Hujui siasa wewe, na hurakaa uzijue kama hadi sasa hata kinachoendelea ndani ya hivi vyama hamna.Nashanga sana kwaiyo chadema imekua jalala la kutupia taka !!!!!!!
CCM pia ni jalala la kutupia taka, kwani juzi tu kwenye Mkutano Mkuu hukuyaona matakataka waliyoyapokea toka upinzani?Nashanga sana kwaiyo chadema imekua jalala la kutupia taka !!!!!!!
Kushangaa ruksaNashanga sana kwaiyo chadema imekua jalala la kutupia taka !!!!!!!
Hata aliyewauzia ARV fake!?Karibu CDM.
Sofia Simba atarejea ccm kabla ya 2020 kwa kuwa atasamehewa makosa yake.Dah!!! Hiyo kweli ni CDM ya miaka ileeeeee!!! au mleta uzi ni Ccm, hata hivyo sishangai kama walimpokea EL yawezekana ikawa hivo, sasa mtu kama S. Simba ataleta nini cha ziada ndani ya chama, CDM tunataka watu wapya wenye mawazo mbadala!!!
Wameanza kutumia philosophy hata alieyekuwa adui ili washindeView attachment 480707
Chanzo: Gazeti la Tanzania daima
Mnajua sana kubadili gia angani! Eti unamuingiza Yesu kwenye ishu ya kijinga namna hii! Nyie si ndio mlipiga kelele sana kuhusu baadhi ya hao kuwa wanawauzia ARV fake!! Leo wamekua mashuja na soon mtawaita makamanda! Ha ha ha ha ha!Utawapata wapi hao watu mkuu.
HATA YESU HAKUJA NA WATU WAKE WAPYA KUTOKA MBINGUNI!!!!
Aliwatumia hawahawa miongoni mwetu tena waliokuwa kinyume na yeye zaidi kama SAULI.
acha ubaguzi kanisa halibagui waumini. vivyo hovyo mtu yeyote anakubaliama na itikadi na sera za chama anaruhusiwa kuwa mwanachamaDah!!! Hiyo kweli ni CDM ya miaka ileeeeee!!! au mleta uzi ni Ccm, hata hivyo sishangai kama walimpokea EL yawezekana ikawa hivo, sasa mtu kama S. Simba ataleta nini cha ziada ndani ya chama, CDM tunataka watu wapya wenye mawazo mbadala!!!