Pazi na Jogoo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 331
- 494
Siasa siyo uaduni yapasa kugutuka kuwa karne ya sasa watanzania hawana budi kuwa na mawazo endelevu, unapofukuza mtu uanachama haina maana kuwa amekatazwa au chama kingine hakiwezi kumpokea kutokana na kile alicho tuhumiwa nacho, na kazi ya Kiongozi wa chama ni kuhakikisha chama kinakuwa na kuongezeka kwa idadi ya wananchama ambao baadae ni matunda ya kupata ushindi.


