Mbowe timiza ahadi yako, Jiuzulu

Kwa hoja hiyo siungi mkono kuwajibika kwa Mbowe. Ila nataka awajibike kwa kutupotezea agenda yetu kuu ya vita dhidi ya ufisadi.
 
Nadhani tatizo la unafiki na ulaghai lipo kwa Watanzania wote.

Kusema ni tatizo la wachaga pekee ni kutowatendea haki.

Mbowe anatakiwa atimize ahadi yake!

Unafiki upo kwa kila mtu...sijasema ni tatizo la Wachagga pekee. Nisome vizuri, Nimesema sijawahi na sitowahi, wala kujaribu kuwaamini Wachagga kwenye jambo lolote.
 
CHADEMA inamilikiwa na wanachama Hai wakiongozwa na Mzee Mtei!
Naona unaota ndoto za mchana.
CHADEMA ni Mali ya Lowassa mmesahau Kama Mbowe aliiuza kwa bill.10? Mwenzenu ashapiga dili nyie kaeni hapo mkijifariji.
 
Back
Top Bottom