mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Mbowe ni fisadi papa ameficha mabilioni nje ya nchi... Ruzuku ya chama anapeleka Dubai kwenye bangaloo lake.
Hakika.Taratibu tunaanza kupata picha ya malengo ya waratibu wa ukuta(kumbe kuna manyang'unyang'u chini ya carpet).
Ingekuwa ndani ya uwezo wangu ningewashauri idara ya uhamiaji kuzuia pasport za wanasiasa kusafiri nje ya nchi mpaka baada ya tarehe moja,isije ikawa wengine wanammina petrol kwenye moto halafu wanapanda bungo kwenda Dubai kula urojo na kutuangalia tunavyoungua kupitia luninga za hoteli zenye hadhi ya nyota tano.
Mengi yatafichuka siku si nyingi.Mbowe ni fisadi papa ameficha mabilioni nje ya nchi... Ruzuku ya chama anapeleka Dubai kwenye bangaloo lake.
Hakika wanatakiwa kufunguliwa kwenye mnyororo wa utumwa.Ha ha ha ha, hawa vijana wananikumbusha Mzee Akilimali alipoenda kuomba kibali Polisi ili wanaYanga waandamane kupinga Yusuph Manji, mwenyekiti wa Yanga eti anaandamwa kwenye biashara zake!
Sikumshangaa Mzee Akilimali kwa vile ni kizazi cha ujima, ila hawa vijana wa Leo kufanya haya ni wazi wapo kwenye gereza la fikira ambayo wasiwasi wangu funguo zake anazo Mbowe, kiukweli they need liberation!
Wamekwisha sahau na mwaka haujaisha!Kijana utakuwa una ugonjwa wa kusahau...kama klinda kura tu mita 200 hakuna muhuni aliyekaa..itakuwa ukutani...usipende kujidanganya.
hakika,siasa hazitalipaAkalipe deni kwanzq