njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,141
- 6,934
Na yeye anataka abaki sababu hana njaa!😂===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===