Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Hebu mhurumieni Mbowe.===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===

NI kweli kayasema haya au unamsemea?.===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Mbowe kawa mjinga sana!===

Kama kweli Mbowe amesema hivyo basi ni mpumbavu kabisa,yaani Lissu kugombea uenyekiti ndiyo yote haya yanamtoka.===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Mwenyekiti ndio tumerika huko tena..===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Ni kweli njaa haina ushujaa ndio maana Mbowe anaiogopa na kung'ang'ania uenyekiti.CCM wenyewe hawajawahi Shiba tangu wayakwae madaraka.===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
Nimemaliza kuangalia hiyo exclusive interview ya Mbowe almost one hour, usilishwe matango pori.Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
anakaribia kulisaidia Jiji usafiHuyu jamaa ilikuaje kuaje akawa Mwenyekiti 🤣
===
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema wakati akina Lemma, Lissu, Heche na Msingwa wakiwa wabunge hawakuwa na kelele hizi za kutaka madaraka.
Mbowe anafikiri kinachoendelea ndani ya CHADEMA sasa ni matokeo ya Vijana wake kuwa na Uchumi mbaya (njaa) ndio sababu wanataka kumwondoa leo.
===
Leo ndio nimeamini JF imejaa upotoshaji, ukimsikiliza Mbowe direct utamuelewa vizuri sana, siyo hawa wanaotafuta heading za kuleta taaruki Mbowe amewaongelea kwenye interview yake, watu kumi wanaweza kutumia AI kutuma comment 1000 kuleta taharuki kwenye jamii kumbe ukweli haupo hivyo.ni yeye katamka? siamini.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Mhmmmm....lete ushahidi wenyekiti kafika huko!???===