Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa.
Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) uliowakutanisha wWadau kujadili hali ya Demokrasia nchini, amesema "Kwetu huu ni mwezi wa maombolezo ndio mana nilisema tunapata wakati mgumu kutafakari kufanya wajibu uliobora ndani ya TCD wakati tukilia kwa madhira tunayopata.