Mbowe baada ya kupewa pesa iliyotajwa kuwa ni fidia, alitakiwa kuweka wazi ili isionekane kuwa ni hongo

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
18,970
47,844
Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake.

Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo kuonekana kuwa ni hongo, Mbowe alistahili kuweka wazi juu ya malipo hayo yanayotajwa kuwa ni fidia.

Kuna wafanyabiashara wa kubadilisha fedha za kigeni ambao pesa zao ziliporwa, serikali iliamua kuwarudishia, na iliwekwa wazi, ilitangazwa na vyombo vya habari, na hakuna aliyeshangaa. Lakini hiyo inayotajwa ni fidia kwa Mbowe, imeendelea kuwa ni siri, jambo linalozua maswali mengi.

Si serikali wala Mbowe, ambaye yupo tayari kuweka wazi, kwanza kukiri kuwa Mbowe alipewa pesa na Serikali, na pili kuweka wazi hiyo fidia ilikuwa ya kitu gani.

Kama ni kwa kuwekwa gerezani bila hatia, kuna wahanga wengi wameyapitia hayo magumu. Lakini kuna familia zimepoteza wapendwa wao kutokana na vyombo vya dola, Lisu alipigwa risasi msululu. Hivyo kama Serikali iliamua kumlipa fidia Mbowe kwa sababu ya kumweka jela kwa kumwonea, basi na hawa wengine nao wana haki ya kuipata fidia hiyo, ikiwezekana hata iliyo kubwa zaidi kwa waliopoteza wapendwa wao na waliopewa ulemavu kwa kupigwa risasi.

OMBI:
Mbowe aweke wazi juu ya malipo aliyopewa yalikuwa ni fidia ya nini na nini ili kuua fikra za kwamba pesa hiyo ilikuwa ni hongo. Ikumbukwe kuwa ni baada ya mambo hayo, Mbowe alimwalika Rais kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la BAWACHA, na akaamua kumpa tuzo. Isije ikawa ilikuwa ni tuzo ya shukrani ya yale aliyotendewa yeye binafsi, na siyo chama au umma wa watanzania.
 
Kika mmoja atumie njia zake kupata haki zake zilizominywa na serikali. Si lazima kutangaza njia zako
 
chadema ni chama ambacho hakijui kinapigania nini .

Lissu pekee ndo anaonesha Mwanga.

Ikiwa mwaka 2016-2020 walikuwa wanapata ruzuku kila mwezi 300 mil na wapo na wabunge karibia 100 Ila bado walishindwa kukiboresha chama chao katika miundombinu at least kufika katika grassroots.

Mbowe angekaa pembeni ili kulinda heshima ndogo aliyonayo.
 
Wakati wa kula huwa hatuongei 🍯🐼
1000017716.jpg
 
Unataka Mbowe akatae na wakati kuna ushahidi?
 
chadema ni chama ambacho hakijui kinapigania nini .

Lissu pekee ndo anaonesha Mwanga.

Ikiwa mwaka 2016-2020 walikuwa wanapata ruzuku kila mwezi 300 mil na wapo na wabunge karibia 100 Ila bado walishindwa kukiboresha chama chao katika miundombinu at least kufika katika grassroots.

Mbowe angekaa pembeni ili kulinda heshima ndogo aliyonayo.
Ukweli Mbowe apumzike
 
Naunga mkono hoja
P
 
Cha ajabu wanasema chadema kipo sababu ya pesa za Mbowe pekee!! Unajiuluza mabilion yalikua yanaenda wapi mind you wabunge walikua wanachangishwa million 1 kila mwezi!!

Mambo ya aibu sana.
 
Back
Top Bottom