Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,401
- 4,370
.
sasa waziri mkuu anaogopa nini wapinzani kuongea na wapiga kura wao. au ni hofu ya mkuu wa kaya kupewa kura za upinzani na upinzani kupewa za ccm? ccm hubirini uzushi wenu kwa wananchi na upinzani wao waueke ukweli wa mambo hakafu wananchi ndio watakao amua nani mkweli. sijaweza kwa kweli sasa hivi kitambua mpinzani ni nani kati ya ukawa na ccm. Hasa baada ya kushuhudia chama cha ccm kikifanya shughuli zake kwa hofu kubwa na kukiogopa kivuli chake. Haki haiombwi, haki inachukuliwa hilo mnapaswa enyi watawala msio viongozi kulitambua hilo.
.
Akili ndogo haijifichi, eti wapinzani kupewa kura za ccm na ccm kupewa za wapinzani! How pathetic! Hata hesabu hujui! Chadema imepata wabunge wangapi wa kuchaguliwa na ccm wangapi? Iweje mkose wabungu mdai eti mlishinda urais? Kwa hiyo mngeundaje serikali bila wabunge wa kutosha? Au mlitaka serikali ya mseto? Nyumbu jitambue.