Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

Status
Not open for further replies.
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

Mkuu naomba ubadili title ya hii thread... iko biased kama vile ni chadema pekee ndio wapinzani bungeni... this will really kill upinzani kama wenyewe nao bado wanaendelea kubaguana
Hata akibadili title haitabadili content yake viongozi watabaki wale wale, kuhusu kushirikisha upinzani nafikiri si lazima kila chama kipewe uongozi bado kuna nafasi nyingi za wizara kivuli na vitengo mbalimbali.
 
Wewe mzee ndo huna busara kabisa, Zitto bado ana issue nyingi tu za kutu assure hata sisi moderate citzens who are leaning chadema amekuwa too contravesial recently huyu kijana , hivyo ni bora kuwa na safe choice kwa sasa kuliko kubahatisha, hata hivyo ni msaidizi wa wa kiongozi wa upinzani hiyo post inamtosha wakati tuna evaluate nyendo zake, is too risky hivi sasa majukumu mazito ya chama kukabidhi kwa kijana kama zitto ambae anakuwa kama kinyonga wakati flani, kwani vitta na CCM ilijaa tamaa na hujuma nyingi inahitaji jemedali mwenye msimamo thabiti kama mbowe!

Na watu walio amua uongozi huo uwe hivyo ni caucus ya wabunge wote wa chadema, hivyo wanajuwa nini wanachotaka na ni uamuzi sahihi kabisa, Napata mashaka na wewe Bwana Technology inawezekana hukitakii mema chadema au una agenda ya siri lakini kwa mtu yoyote mwenye kutakia mema chadema atafurahia na uchaguzi huu, CCM wenyewe hawampendi Mbowe kutokana na misimamo yake ambayo inaimarisha chama, sasa unataka kuniambia wabunge wote hao wa chadema waliochagua hao viongozi ni wachaga? au wote wanatoka Kilimanjaro, mbona unakuwa unreasonable na shutuma zako hazima facts?
 
hizo ni mbwembwe wewe

Sawa ni mbwembwe mkuu!

To many CHADEMA is infallible! Hutakiwi kuhoji nini wanafanya kama Chama na kwanini?

Zitto alishatangaza nia ya kuchukua nafasi hiyo! Leo mnakuja na kusema eti wame-adopt vitu gani?
 
Ndugu zangu tujaribu kuelewa kidogo haya mambo tunavyozungumza, ukabila ni sera ya CCM maana hat mgombea wao wa uraisi alikuwa anahubiri ukabila, udini na vitu kama hivyo, sasa wewe unayeongea ukabila una maana gani? Binafsi namkubali sana Mh Mbowe (heshima kwake) na ni mtu ambaye anajitoa kwa ajili ya chama na Taifa, sina sababu za kumtukana maana anafaa, ana uwezo wa kujenga hoja, sasa wewe unasema hana data, data gani hizo? Kwanza unajua maana ya data?

Ok umesema zito alikuwa chaguo sahihi, weka wazi hapa sijaelewa, alichaguliwa na nani, na wakati gani? Acheni uchochezi usio na mpango, jamani tusiishi kwa hisia zetu wenyewe, bali kwa reality.

Heshima kwenu
 
Katika kipindi ambacho kitakuwa kigumu katika historia ya Chama Cha Mafisadi CCM ni hiki hapa 2010 November hadi 2015 September. Nikiangalia SAFU iliyoko hapo juu mjengoni kutoka CHADEMA ni kwamba ni timu ya Makombora ya Maangamizi ambayo sijaona kama CCM wana hata Patriotic moja ya ku intercept mashambulizi yenye hoja zilizojaa logic na evidence.
CCM kaeni mkao wa kufunikwa bungeni halafu mkifika kwa wananchi mkutane na Zomea zomea ya Hilooooo, haooo, kamataaa, mafisadi haooo!!!!!!!
CCM watafunikwa tu kama wabunge wao ni type ya kina Vicky Kamata wanaopeka sura bungeni unategemea nini.
 
Technology, utakubaliana nami kuwa wabunge wengi wa chadema ni wasomi na wanaulewa mkubwa hivyo wanajuwa nini wanakifanya, uamuzi wao ni mzuri mimi naunga mkono, mimi bado sina imani kubwa na Zitto Kabwe kutokana na misimamo yake flani flani kwenda tofauti kabisa na maslahi ya Taifa, he need to grow up a little bit na kujifunza kufanya kazi kwa team work, mara nyingi Zitto anapenda kuji inua sana yeye bila kujali maslahi ya Chama. He needs to follow Dr Slaa foot steps na kuacha ubinafsi
 
Congrats CHADEMA and I'm very happy because you always surprise your enemies. Ngoja sasa tuone watakuja na Santuri ipi
 
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

Je mbowe ana uzoefu wa kutosha kuliko Mh Hamad Rshid?

Ok all in all, Hamadi ana nafasi yake maalum kule Zenji
 
Hata kama imekutachi kuandika upuuzi haisaidii kitu ndiyo utaendelea kuumia zaidi, badilisha hayo maneno pls vinginevyo ni wewe unayejivunjia heshima.
 
Yeah all 22 of you.

point of correction chadema wana wabunge almost 45 right now, but Chief whip may reach out the other side of isle, kwa wanaojali maslahi ya taifa na sio wanaojali maslahi yao binafsi kwa kuupewa ceremonial vice presidency ambae hana kazi
 
Mkuu naomba ubadili title ya hii thread... iko biased kama vile ni chadema pekee ndio wapinzani bungeni... this will really kill upinzani kama wenyewe nao bado wanaendelea kubaguana


Acid, sijui nyongo, nadhani hujaelewa utaratibu.... ni kuwa Chadema ni official opposition party kwa hiyo kimechagua viongozi wa upinzani.. nadhani ingekuwa hivi.. badala ya chadema kuwa peke yao wangeigiza pia na CUF
 
Naimani na Tindu Lisu tu hao wengine hamna kitu, mtanipinga ila time will tell.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom