downtown_godfather
Member
- Jan 14, 2017
- 6
- 1
Ww muongo wote lengo lao ni moja, isipo kuwa wamegawana majukumu
Kusema majinga haijibu hoja za mada.Majinga kweli
Tunaelekea kuyaona mapambano makali na sina shaka Mbowe atajikuta anatupwa nje ya kiti cha Mwenyekiti wa chama Taifa.na huyu sio zitto
Lowassa anacheza na namba.
Msingi wa hoja yangu sio kughilibu mtu yoyote.Hakuna unayeweza kumghilibu na huo uzi wako mrefu...
Issue ni moja tu kwa sasa..
Nchi inakabiliwa na NJAA.
mafisadi mnakazi kweli sijui nani kawaroga.Majinga kweli
Wewe badala ya kuishauri serikali yako namna ya kupambana na huu ukame na baa la njaa linalotukabili unahangaika na chadema. Pumbavu kweli!Ukiichunguza CHADEMA ya sasa utagundua kuna makundi makuu mawili ambayo malengo yao yanatofautiana pamoja na kwamba yanachokitafuta ni kitu kimoja ambacho ni madaraka. Kuna mapambanao ya chini kwa chini yanaendelea ndani ya CHADEMA.
Kuna kundi la Mbowe ambalo malengo yake ni kuhakikisha linaweka viongozi ndani ya chama ambalo watakuwa waaminifu kwa kambi ya Mbowe ili abakie kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa miaka mingi ijayo.
Kwa kutumia style ya Machiavellianism, Mbowe anahakikisha kila kiongozi ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha sura za uongozi wa juu anabakia kwenye kambi yake na kama hayuko upande wake anaondolewa au hapewi cheo.
Kuna kundi la Lowassa ambalo kwa sasa linazunguka nchini huku likifanya vikao na wanachama wa CHADEMA katika malengo ya kuhakikisha Lowassa anabakia kuwa na nguvu ndani ya chama na pia mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA. Hili ni kundi ambalo bado likisimama kwenye mkutano linazungusha mikono na kuwauliza wanaCHADEMA, Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko.
Kundi la Lowassa halihangaiki kwa sasa katika kusimika viongozi wake bali linahangaika kuhakikisha linashika vitengo vya Habari na Uenezi ndani ya CHADEMA. Kundi hili linafahamu Habari na Uenezi ndio kitengo muhimu sana kwa malengo ya baadaye ndani ya chama.
Kundi la Lowassa limeendelea kujisimika katika vitengo vya Habari na Uenezi ndani ya CHADEMA kupitia kwa Hemedi Ali aliyekuwa Mwenyekiti wa 4U Movement ili kuhakikisha CHADEMA iwe ni Lowassa na Lowassa awe ni CHADEMA katika media. Mpaka sasa hata kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa atakuwa ameambatana na Lowassa kwa pamoja katika kazi za chama, kundi la Lowassa litahakikisha anayepata nafasi katika media ni Lowassa na sio Mwenyekiti ambaye kicheo na kiitifaki anatakiwa apewe nafasi kuu katika media.
Kundi la Lowassa lilitumia mbinu hii hii ndani ya CCM ambayo linaitumia kwa sasa mpaka likafanikiwa kumjenga Lowassa ndani ya CCM mpaka likafikia hitimisho la kumuondoa Rais Kikwete katika kiti cha Mwenyekiti baada ya kuleta hoja ya kutenganisha kofia mbili za Mwenyekiti na Rais wa Tanzania ndani ya CCM. Kama sio ujanja wa Kikwete huku akisaidiwa na Wazee wa CCM, Lowassa angekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Nimeshangaa kidogo kuona baadhi ya watu wanamzodoa Lowassa baada ya kwenda kwenye kampeni za Udiwani zinazoendelea nchini. Kama hutumii jicho la tatu huwezi kuifahamu mikakati ya Lowassa ndani ya CHADEMA.
Kundi la Lowassa litakapohakikisha limejisimika vizuri kitakachofuatia ni kuanza kujenga hoja kwa wanachama kuwa Mbowe anafaa apumzike kwa sababu hana mbinu zaidi za kisiasa. Uwezo wake umefika ukingoni pamoja na kukijenga chama kwa mafanikio mpaka hapa kilipofika. Hii hoja itaanza kupigiwa chapuo kwenye vyombo vya habari ili kuhakikisha Mbowe anadhoofika ndani ya CHADEMA wakati huo huo Lowassa aking’ara na kuandikwa sana kwenye vyombo vya habari.
Kitakachofuatia ni Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na baada ya uchaguzi Mbowe atakuwa history.
Mijitu ya ufipa n kaskazini bn inawaza CCM tuMijitu ya Lumumba n chato bn inawaza CDM tu
Nenda kajisajili kwenye chama cha watabiri. Bado hujafikia level ya kuitwa 'Political Pundit'.Ukiichunguza CHADEMA ya sasa utagundua kuna makundi makuu mawili ambayo malengo yao yanatofautiana pamoja na kwamba yanachokitafuta ni kitu kimoja ambacho ni madaraka. Kuna mapambanao ya chini kwa chini yanaendelea ndani ya CHADEMA.
Kuna kundi la Mbowe ambalo malengo yake ni kuhakikisha linaweka viongozi ndani ya chama ambalo watakuwa waaminifu kwa kambi ya Mbowe ili abakie kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa miaka mingi ijayo.
Kwa kutumia style ya Machiavellianism, Mbowe anahakikisha kila kiongozi ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kubadilisha sura za uongozi wa juu anabakia kwenye kambi yake na kama hayuko upande wake anaondolewa au hapewi cheo.
Kuna kundi la Lowassa ambalo kwa sasa linazunguka nchini huku likifanya vikao na wanachama wa CHADEMA katika malengo ya kuhakikisha Lowassa anabakia kuwa na nguvu ndani ya chama na pia mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA. Hili ni kundi ambalo bado likisimama kwenye mkutano linazungusha mikono na kuwauliza wanaCHADEMA, Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko.
Kundi la Lowassa halihangaiki kwa sasa katika kusimika viongozi wake bali linahangaika kuhakikisha linashika vitengo vya Habari na Uenezi ndani ya CHADEMA. Kundi hili linafahamu Habari na Uenezi ndio kitengo muhimu sana kwa malengo ya baadaye ndani ya chama.
Kundi la Lowassa limeendelea kujisimika katika vitengo vya Habari na Uenezi ndani ya CHADEMA kupitia kwa Hemedi Ali aliyekuwa Mwenyekiti wa 4U Movement ili kuhakikisha CHADEMA iwe ni Lowassa na Lowassa awe ni CHADEMA katika media. Mpaka sasa hata kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa atakuwa ameambatana na Lowassa kwa pamoja katika kazi za chama, kundi la Lowassa litahakikisha anayepata nafasi katika media ni Lowassa na sio Mwenyekiti ambaye kicheo na kiitifaki anatakiwa apewe nafasi kuu katika media.
Kundi la Lowassa lilitumia mbinu hii hii ndani ya CCM ambayo linaitumia kwa sasa mpaka likafanikiwa kumjenga Lowassa ndani ya CCM mpaka likafikia hitimisho la kumuondoa Rais Kikwete katika kiti cha Mwenyekiti baada ya kuleta hoja ya kutenganisha kofia mbili za Mwenyekiti na Rais wa Tanzania ndani ya CCM. Kama sio ujanja wa Kikwete huku akisaidiwa na Wazee wa CCM, Lowassa angekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Nimeshangaa kidogo kuona baadhi ya watu wanamzodoa Lowassa baada ya kwenda kwenye kampeni za Udiwani zinazoendelea nchini. Kama hutumii jicho la tatu huwezi kuifahamu mikakati ya Lowassa ndani ya CHADEMA.
Kundi la Lowassa litakapohakikisha limejisimika vizuri kitakachofuatia ni kuanza kujenga hoja kwa wanachama kuwa Mbowe anafaa apumzike kwa sababu hana mbinu zaidi za kisiasa. Uwezo wake umefika ukingoni pamoja na kukijenga chama kwa mafanikio mpaka hapa kilipofika. Hii hoja itaanza kupigiwa chapuo kwenye vyombo vya habari ili kuhakikisha Mbowe anadhoofika ndani ya CHADEMA wakati huo huo Lowassa aking’ara na kuandikwa sana kwenye vyombo vya habari.
Kitakachofuatia ni Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na baada ya uchaguzi Mbowe atakuwa history.
Mkuu;Siasa bhana inabidi kuwa makin hisikutawale
Inabidi ujipange na thread nzuri maana muda sio mrefu tuliyotabiri yatatimia, wenye akili na maono humo wataomba wakae pembeni kuokoa career zao kisiasa.Mkuu;
Una maana gani?
Hakuna aliyekukataza kuamini hivyo lakini muda utakueleza zaidi.blah blah blah but remember form LOWASA rais wetu , MBOWE mwenyekiti wetu. lets keep our CHADEMA flag flyng high maana malengo yetu ya mabadiliko hayata koma mpaka tu gain throne
Nakubaliana na mtazamo wako!Siasa bhana inabidi kuwa makin hisikutawale
mafisadi mnakazi kweli sijui nani kawaroga
fisadi mamako aliyemfisadi babako