Mbowe amuunga mkono Gwajima kwenye kesi ya kumkashifu Pengo

NAONA AIBU; PICHA NA MAELEZO YAPO ;GAZETI LA NIPASHE LA LEO PG 2.
NIKIWEKA NAONA NAZIDI KUWEKA KAMBI YETU PABAYA YA MASHINGI

weka ushahidi...alafu andika kwa herufi ndogo...Don't shout
 
download Gazeti kwenye simu ni 3mb ;
jifunze kuhudhuria mahakamani

Uko wapi huo Ushahidi wako?

upload_2016-3-16_15-39-3.png
 
Kwa hali isiyotegemewa jana mahakama ya kisutu , mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliambatana na Mchungaji Gwajima na kukaa naye Mahakamani na kusaidia baadhi ya maswali na taratibu , na mwansheria wa CHADEMA John Malya ndio anaye mtetea Mchungaji Gwajima.

Hii imetafsiliwa na baadhi ya wanachama ni juhudi za kumuunga mkono Mchungaji Gwajima ili ashinde kesi dhidi ya Kardinali Pengo.

Na pindi akishinda, either Gwajima atalipwa fidia ya kuendesha kesi kwa kufungua kesi ya madai.

Kwanza mwanasheria hamtetei mtuhumiwa bali anamwakilisha. Pili gwajima anashitakiwa na serikali ya sio Pengo, maana Pengo hawakuwa kutuoa malalamiko police wala kufungua mashtaka. Tatu, Pengo ni mtu kama Gwajima, wote ni viongozi katika makanisa yao, Tena Pengo ni askofu wa Jimbo kuu la Dar salaamu tu (kama unajua muundo wa kanisa katoriki), hana mamlaka morogoro, Bukoba, Songea wala Iringa, kutaja baadhi. Ila gwajima ni kiongozi wa kanisa lake Tanzania nzima, who is the boss?
 
Hicho ni kivuli cha KKKT kwenye hiyo kesi. Ni vita ya Katholiki vs KKKT
Hatari...ndio maana siku hizi kamanda wa anga anahudhurisa misa jumapili na kutoa matamko,nasikia naye kaambiwa akiacha kwenda kanisani anafukuzwa uenyekiti.
 
Kwanza mwanasheria hamtetei mtuhumiwa bali anamwakilisha. Pili gwajima anashitakiwa na serikali ya sio Pengo, maana Pengo hawakuwa kutuoa malalamiko police wala kufungua mashtaka. Tatu, Pengo ni mtu kama Gwajima, wote ni viongozi katika makanisa yao, Tena Pengo ni askofu wa Jimbo kuu la Dar salaamu tu (kama unajua muundo wa kanisa katoriki), hana mamlaka morogoro, Bukoba, Songea wala Iringa, kutaja baadhi. Ila gwajima ni kiongozi wa kanisa lake Tanzania nzima, who is the boss?
Hahaaa hicho kichaka cha misukule nawe unakiita kanisa? Kwa taarifa yako huyo gwajima huwezi mlinganisha hata na Padri wa RC, kwa Pengo ni level nyingine kabisa.
 
Kwa hali isiyotegemewa jana mahakama ya kisutu , mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliambatana na Mchungaji Gwajima na kukaa naye Mahakamani na kusaidia baadhi ya maswali na taratibu , na mwansheria wa CHADEMA John Malya ndio anaye mtetea Mchungaji Gwajima.

Hii imetafsiliwa na baadhi ya wanachama ni juhudi za kumuunga mkono Mchungaji Gwajima ili ashinde kesi dhidi ya Kardinali Pengo.

Na pindi akishinda, either Gwajima atalipwa fidia ya kuendesha kesi kwa kufungua kesi ya madai.
Polycap Cardinal Pengo hana kesi yoyote ile na Gwajima.
 
Pengo hakushitaki ni jamuhuri inamshitaki Gwajima Pengo atakuja kama shahidi
Pengo atakujaje kama shahidi wakati hakuwepo wakati akitukanwa? Ushahidi ni ile audio mkuu. Hiyo ndiyo dawa ya mpumbavu! Ashtakiwe tu. Pengo anaheshima yake hawezi kuchafua casox
yake kwenda mahakamani
 
Kwanza mwanasheria hamtetei mtuhumiwa bali anamwakilisha. Pili gwajima anashitakiwa na serikali ya sio Pengo, maana Pengo hawakuwa kutuoa malalamiko police wala kufungua mashtaka. Tatu, Pengo ni mtu kama Gwajima, wote ni viongozi katika makanisa yao, Tena Pengo ni askofu wa Jimbo kuu la Dar salaamu tu (kama unajua muundo wa kanisa katoriki), hana mamlaka morogoro, Bukoba, Songea wala Iringa, kutaja baadhi. Ila gwajima ni kiongozi wa kanisa lake Tanzania nzima, who is the boss?
Kwa hiyo kwa mbowe na chama chake "the boss" matters the most?
 
Hivi ile dua mbaya iliyoombwa na yule sheikh kwenye kipindi kile cha kampeni za chadema bado haijajibiwa tu?
 
Back
Top Bottom