Mbowe ametutega, hatatupata lakini atapata

Mzee Tupatupa we mzee ni mtu makini sana upo tofauti na wana Ccm wenzako wa humu sasa nauliza tu hivi hawa vijana wenu wa KITENGO wa humu mbona wanawaangusha sana hamuoni mnatupa hera za bule hizo buku 7 mnazowalipa mbona mnatupa bule.wao kazi yao ni matusi
 
Polisi HAWAJAKATAZA mikutano ya kisiasa bali WAMEIZUIA.Kuna tofauti hapo ndio maana Lowasa alifanya mkutano ndani ya zuio na ccm watafanya pia ndani ya zuio na siyo katazo ni lazima Mbowe alieleweshwa hilo.Kuzuiwa siyo kukatazwa tafakari
 
Mleta uzi, you are wrong.... wazee wa "Punda afe, mzigo wa tajiri ufike" hawako kama unavyowafikiria. Maslahi ya chama chao siku zote yako juu sana ya maslahi ya Tanzania. Wako tayari kufanya chochote ili chama chao kibaki madarakani, hata kama maana yake ni kumuua punda. They will always do anything.. hawana aibu, wala simile.
 
Mwenyewe aliyekinunua kasema amekibadilisha chama kutoka uanaharakati na kuwa chama cha siasa.
 
Yamesemwa mengi sana kuhusu mustakabari tunaoanza kuujenga katika nchi hii. Wengine kama kawaida yenu mlijitokeza hapa kupinga na kuwaita wakosoaji wenu "Wapinzani" wanaokosoa kila kitu. Wengine wamewekwa hata ndani kwa sababu ya ukosoaji huo. Lakini mnazidi kuufunua wenyewe ukweli kwa matendo yenu. Huu ni ushahidi mwingine wa wazi mnaowapa wapinzani wenu kuhusu tuhuma wanazowatuhumu nazo. Kiukweli, tutaendelea kuwasema... hamko vizuri, mbinu mnazotumia kupambana na wapinzani wenu ni za kitoto sana na za karne nyingi zilizopita. Si mbinu za chama kilichokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Mnaonekana kama chama kilichonzishwa jana, kisichojiamini na kinachotumia mbinu chafu kuendelea kuwepo, pathetic.
 
Tupa tupa huongea kwa na kunena kwa level za juu sana.....aghalabu wengi huchangia nyuzi zake pasi na kumuelewa
 
Watu wanashida kweli. Wakienda shida sasa wameambiwa wasiende shida. Siasa inataka mtu ajitoe ufahamu kwakweli
 
kama ni mbinu basi ni mbinu za kitoto,ukitaka kuwa kiongozi thabit ni lazima uwe na KAULI THABIT(you must be the man of your words),vinginevyo jitayarishe kudharaulika na kutokuaminiwa pindi utakapokuja na kauli nyingine.
kumbe polisi sasa watadharaulika na kutoakuaminiwa maana wamekuja na kauli tofauti! POLISI WANA MBINU ZA KITOTO. ASANTE kwa kuelewa!
 
kumbe polisi sasa watadharaulika na kutoakuaminiwa maana wamekuja na kauli tofauti! POLISI WANA MBINU ZA KITOTO. ASANTE kwa kuelewa!
Umedandia train kwa mbele mkuu,fuatilia andiko lako limetokea wapi utagundua kwamba umekurupuka kama sio kuchanganyikiwa.
 
Chadema ni chama makini, wameitega polisi nao wametegeka, sasa mikutano ya ndani ruksa.

Kwani hao polisi wanaagizwa na nani kuyatekeleza hayo ya kuzuia mikutano ya upinzani?Anaewaagiza akizidi kuwaambia waendelee kuikatalia mikutano ya upinzani atakatazwa na nani?Kwani wakizidi kuwaambia tumehisi au intelijensia yetu imetuonyesha hamtamaliza mkutano wenu wa ndani salama utawahoji nini tena zaidi ya kusambaa?Kupita kwa mnyonge ni hadi mwenye nguvu apende elewa hilo.
 
This issue was planned na target kubwa ilikuwa ni polisi nao weingia mkenge wametegeka.Sidhani kama kulikuwa na safari ya kwenda Dodoma Bavicha.Ilikuwa ni mbinu tu kuwa Bavicha watatangaza kwenda Dodoma then Polisi watajibu mapigo then Mbowe atawakataza.Finali CDM nao wataendeleza mikutano yao ya ndani kama CCM tu.Hata ikiwezekana watafanya na hadhara pia.
Mbowe kichwa sana..Anacheza na akili za polisi na watawala na wao wameingia kichwa kichwa na matamko ambayo yanawanufaisha UKAWA moja kwa moja.
 
Hahahaa CHAGADEMA bana...Mnaanza kumsifia Mwenyekiti wenu hapa...nendeni Dodoma muone nyie ny.am.bafu
 
Back
Top Bottom