Mbowe akiachia uenyekiti CHADEMA, nani amrithi?

Hivi kwa nini CCM hawataki Mbowe awe mwenyekiti wa Chadema? maana wanalalamika kuliko Chadema wenyewe. Inawauma nini kwa Mbowe kuwa mwenyekiti? Ukiona paka anamchagulia panya shimo la kuingia ujue kuna maslahi kayaona kwenye hilo shimo.
Mbowe kawashika sehem nyeti ndio maana hawampendi! Hahahhaha
 
Hiki ndio kisingizio cha mbowe kuminya democrasia ndani ya chama??
Juhudi za kuhamisha mjadala toka uchafuzi wa uchaguzi wa madiwani.
HATA Mugabe hivyohivyo alikuwa akishinda kwa 80% plus. LAKINI Siku ya kuondolewa hata wale waliokuwa wanavalishwa rangi za bendera hawakuwepo. Hivi alikuwa anachaguliwa na nani?
 
Mbowe huwa anachaguliwa na nani?
 
Ikiwezekana pia bashite awe m/kiti maana anafanya vizuri kwenye mkoa wake hiyo ndio democracy unayoitaka iwe pande zote
 
Kaanze na dikteta uchwara kwanza aruhusu demokrasi nchini na yeye uenyekiti wake wengine waruhusiwe kugombea tuone kama atathubutu kufanya hivyo.

Mbowe ni jabari ndani ya Chadema na uwepo wake umewafanya wahuni, wauaji na mafisadi wa MACCM kushindwa kupandikiza mapandikizi yenu ndani ya Chadema.

Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe wahuni wa MACCM haiwahusu chochote nani Mwenyekiti wa Chadema.
mkuu ona aibu basi..

Ccm imeshindwa kupandikiza mapandikizi chadema? Aisee hii coment yako hata Mbowe mwenyewe akiiona atasikitika sana!
 
Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Unataka kumchokoza Mugabe!ngoja aandae mpango wake na makarai
 
Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Msisyemu uwachagulie CDM mwenyekiti?Juu ya shingo umebeba kichwa au rungu?
 
Back
Top Bottom