Mbona wakosoaji tumo humu tunakosoa kwa raha zetu. Nchi zote ambazo hazina bunge live duniani ni za kidictator? Ambazo ni nyingi kuliko zenye bunge live.Mbowe anawarudisha nyuma CHADEMA Na Upinzani kwa Ujumla!
Lema anafaa kwani ni dare-devil,rude na confident!while Mbowe is meek,sheepish,and coward!mkitaka mpate Raila Odinga wa Tanzania:Weka Lema,toa Mbowe!
I second you...Lema anafaa!
Akipewa nafasi atajifunza na kujirekebisha!
Nimeimisi ile CHADEMA ya 2015 backwards!CHADEMA hii ilituchangamsha hata sie uku CCM!Walikuwa wakisema wanaandamana na kweli utawakuta barabarani!ila CHADEMA hii ya 2015 onwards,tulitegemea itajaribu kumdhibiti Magufuli japo apunguze kubana sauti za ukosoaji,ila hakuna kilichotokea!Magufuli baada ya kupima kina cha maji ya CHADEMA kwa miguu,na akaona hayana mamba wala maporomoko,kaamua kupiga mbizi jumla jumla!Kazima bunge live,Upinzani Kimya,kakataza mikutano ya kisiasa CHADEMA kimya,kaonja asali sasa akaona isiwe tabu,kachonga na mzinga!CHADEMA na CCM wanategemeana!
CHADEMA Ikiwa Madhubuti,hata CCM Itakuwa Imara!Ila Imekuwa Kinyume!