Mbona Magufuli alikuwa anapokea mshahara zaidi ya mmoja (Mbunge na Waziri) kabla ya Oktoba 2015?

~~>Sio lazima kila mtu aanzishe Uzi.... Unaweza kuComment tu.....Na ukiona huna uwezo wa kuComment unaweza kusoma tu

Huu ni uzi wa kiTaahira tangu JF ianzishwe.
 
Hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Chato alisema kuna mtu anapokea mishahara 17 na akaahidi kufyeka mishahara ya namna hiyo. Imenichukua muda kufikiria suala hili na kiukweli nimekosa majibu.

Kwanza watanzania na dunia nzima wanajua kwamba kabla ya mwezi October mwaka jana Magufuli alikuwa anapokea mshahara wa ubunge na uwaziri kwa pamoja. Na kiukweli hakuna kumbukumbu yoyote kwamba aliwahi kukemea popote matumizi hayo mabaya ya fedha za umma na hajazirudisha mpaka leo.

Lakini pia hata leo mawaziri wake wanapokea mishahara ya ubunge na uwaziri. Anapotwambia anabana matumizi simuelewi kabisa. Unalaumje watu wanaopokea mishahara mingi wakati inaanzia kwenye serikali yako? Wale wanaosema maigizo hawana hoja?
UKAWA utakuuwa wewe!
 
Kwa hiyo unatakaje ndugu, pasiwe na mabadiliko ya kimaendeleo? Yani kama baba alikuwa anakojoa kitandani leo hii asimgombeze mwanae anapokojoa kitandani?
 
Hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Chato alisema kuna mtu anapokea mishahara 17 na akaahidi kufyeka mishahara ya namna hiyo. Imenichukua muda kufikiria suala hili na kiukweli nimekosa majibu.

Kwanza watanzania na dunia nzima wanajua kwamba kabla ya mwezi October mwaka jana Magufuli alikuwa anapokea mshahara wa ubunge na uwaziri kwa pamoja. Na kiukweli hakuna kumbukumbu yoyote kwamba aliwahi kukemea popote matumizi hayo mabaya ya fedha za umma na hajazirudisha mpaka leo.

Lakini pia hata leo mawaziri wake wanapokea mishahara ya ubunge na uwaziri. Anapotwambia anabana matumizi simuelewi kabisa. Unalaumje watu wanaopokea mishahara mingi wakati inaanzia kwenye serikali yako? Wale wanaosema maigizo hawana hoja?
Upuuz mtupu unadhalilisha familia yako tu maana eti we ndo una akili halafu unaongea pumba sna
 
Ccm haina jipya kilichopo hapa nikushugurikia makundi ndani ya ccm sio kurainisha maisha kwa watanzania acha watumbuane iwe nafuu kwa watumbuaji
 
Hoja ya vipi wakati issue ipo wazi mkuu.mishahara 17 ya watumishi hewa bali mshahara wa mbunge na uwaziri mtumishi yupo na anafanya majukumu yake. Ni sawa na mwajiriwa wa uwalimu afu anafanya na biashara ya kuku. Embu tumieni akili mambo mengine jamani
"Embu" maana yake nini dada? Kweli bange mbaya
 
~~>Sio lazima kila mtu aanzishe Uzi.... Unaweza kuComment tu.....Na ukiona huna uwezo wa kuComment unaweza kusoma tu

Huu ni uzi wa kiTaahira tangu JF ianzishwe.
Anzisha uzi wako tuuone siyo kutoa maoni ya jumla
 
Hivi ni kweli wana mishahara miwili? Thibitisheni tuamini ili tujue kama ni jipu au la
 
Hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Chato alisema kuna mtu anapokea mishahara 17 na akaahidi kufyeka mishahara ya namna hiyo. Imenichukua muda kufikiria suala hili na kiukweli nimekosa majibu.

Kwanza watanzania na dunia nzima wanajua kwamba kabla ya mwezi October mwaka jana Magufuli alikuwa anapokea mshahara wa ubunge na uwaziri kwa pamoja. Na kiukweli hakuna kumbukumbu yoyote kwamba aliwahi kukemea popote matumizi hayo mabaya ya fedha za umma na hajazirudisha mpaka leo.

Lakini pia hata leo mawaziri wake wanapokea mishahara ya ubunge na uwaziri. Anapotwambia anabana matumizi simuelewi kabisa. Unalaumje watu wanaopokea mishahara mingi wakati inaanzia kwenye serikali yako? Wale wanaosema maigizo hawana hoja?
....kwa kuwa yeye alishawahipokea mishahara miwili (according na wewe) aache watu wapokee kumi na saba sio!!! (Wewe ni mojawapo wa walee mzee Mkapa aliowatolea uvivu!!!
 
Back
Top Bottom