Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
- Thread starter
- #41
Mkuu huyu demu namwona kama mnafiki safari ya kwanza aliniacha kwa wivu wake tu wa kijinga,safari hii kaomba turudiane tumedumu mwezi mmoja tu kaanza tena visa vyake so safari hii namtoa jumla akilini mwangu nlionesha kumpenda ila ndo hivyo kujishaua kwingiSafi ila usiwe mwepesi kufuata ushauri wa watu wa humu. Kama mnapendana mnyooshe tu kwa kumuonesha akujali asikupuuze au kukuona boya wake. Utaacha wangapi kwa kisa kidogo kama hicho?