DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Msije mkafurahia mkisikia mbunge fulani wa CHADEMA ameshinda kesi aliyoshitakiwa na aliyekuwa mgombea fulani wa CCM. Hii ni mbinu ambayo huwa inatumika na CCM miaka mingi kuuibia upinzani.
NINI HUFANYIKA?
Katika chaguzi CCM huiba sana kura na muda mwingine humtangaza mshindi hata ambae hajashinda kwa hoja kwamba wapinzani kama hamjaridhika mkafungue kesi mahakamani.
Kinachotokea ni CCM nao kufungua kesi nyingi iwezekanavyo kisha zote wanawaacha wapinzani washinde.Hii itawafanya wapinzani waamini mahakama inatenda haki. Baada ya hapo kesi zote ambazo wapinzani waliporwa ushindi mfano Rungwe na kwa Kafulila Ma judge wanaipa ushindi CCM.
Mkilalamika kuwa mahakama haija tenda haki CCM Wanakuja na propaganda kwamba mahakama imetenda haki ndio maana hata wapinzani walishinda. Story inakuwa imeisha washindi wanarudi bungeni na mlioibiwa mnasubiri baada ya miaka mitano muibiwe tena.