Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Ila na ss wanaume tunajitakiaga kupigwa vibom unakuta kidume kina jikweza kionekane anazo kumbe rofa to alaf bint kumbe kakuotea we tapel kwa nn asikupige kibom ukimbie we kama rofa mfuate kirofarofa to ataelewa to
 
Nshawaambia watu mara kibao...dem ukimtongoza au kum chase around una haribu....ww andaa mazingira au jiweke in a certain way akuone you are the big prize to be won...watakuja tu, then chombeza kidogo akiingia kingi una tafuna.

Sasa jinsi ya kujiweka au kujinadi in a smart way ni usharp na ubunifu wako tu. Ila on my case i dnt use much energy acting that way cz i am living that way (ndio nko hvyo) nachombeza wakishoboka natafuna.

Ila angalieni sana na wanawake wa kugonga...wengine ma scraper usije kwaa miwaya (Play it Smart, Play it Safe).
Play and act smart....umenikumbusha enzi hizoo...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Hiyo ni kweli mkuu me ndi zangu tokea mwaka uanze sihitaji population kabisa nakupiga kizinga cha maana najua kabisa huna uwezo Wa kutoa hiyo pesa at the first time unakimbia mashindano faster.unaenda kugugumia mbele
.....duuuuuh! wenzako wanalilia wawe na population ya kutosha ili kudhibitisha uzuri walionao ww unakataa!
 
Ukiwa king'ang'anizi ndio utakapoanza kupika huku wenzako wakipakua
Yeah..Hiyo inatokea..Lakini kuna wengine msichana hakikubali haraka bila usumbufu anakuwa na wasiwasi..Anamuona kama ni mwepesi kutongozeka..Anahisi hata akiwa nae hatakuwa wake peke yake..Ndo mana hata wasichana nao wanakuwa wasumbufu sometimes kutokana na sababu hiyo..So ukipewa jibu hilo na kusepa anaona haukuwa serious
 
Kumuomba hela cjaona kama ni njia sahihi zaid ya kumwambia hapana kwa sababu kuna watu wanahela bwana acha kabisa sasa akikutaka huyu unafikil utamkwamisha kwa mizinga ya hela ya kusuka ?hapo lazima atakupata au umesahau habar ya yule jamaa alikuwa anahonga gari nyekundu?
 
Si ndio hapo....kama ukikataliwa Mara moja unapangusa kalio na kusepa... Naona utawapata wale warahisi tuu....kuna watu paka uwa force...ndio wanakuwa happy na na kujiridhisha kwamba they are loved and valued....
Yeah..Uko sahihi bazazi..
 
Kama Unatoa mtandao pendwa ni PM kuna 200000 ya fasta mana mgodi umetema..kama una afrika bambataa dau linaweza panda
 
Kama Unatoa mtandao pendwa ni PM kuna 200000 ya fasta mana mgodi umetema..kama una afrika bambataa dau linaweza panda
Denis denny
Huo mtandao pendwa ndo unasababisha maafa yanaongezeka duniani.......fanyeni yoote, hala hala ni bora kuamini there is life afta death jaman.afu tunza uume ukutunze,utumie kwa njia sahihi na salama.
 
Denis denny
Huo mtandao pendwa ndo unasababisha maafa yanaongezeka duniani.......fanyeni yoote, hala hala ni bora kuamini there is life afta death jaman.afu tunza uume ukutunze,utumie kwa njia sahihi na salama.
Dada msafi hutaki uongeze japo ka fremu ka Saloon..Just use what u got to get what u need..Remember that "we ran up them digits..We ran up some money.."au umeshiba pesa, usichelewe PM basi mana hela za mgodi huwa zinasubiri maelekezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom