Maua kilasa
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 1,040
- 561
Serikali iache kuumiza na kutisha watu. Tunamlaumu rais tu hakuna mwingine. Akitumia usalama wa taifa ama bashite. Yote yanamwendea yeye. Asijidanganye. Hakuna mwimgine mwenye akili ya kitoto kama ya huyu magu. Ana chuki tele. Mtu anayekataa kutoa pole kwa oposition aliye na shida. Huyu hajui maana ya kuwa rais.