Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

So, kwa maelezo yako ndoto si kitu halisi ni utabiri. Ni sawa?
Ukisema ndoto ni utabiri pia ni sawa Kwa kuwa muda wa tukio la rohoni ndotoni ni nyuma au mbele ya tukio la mwilini sababu rohoni hakuna time.

Pia ni Kweli kuwa ndoto ni tukio halisi.

Hivyo yote umesema sawa katika angle tofauti.

Karibu.
 
“Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mungu” (Marko 14:25).

Kwa hiyo kula mbinguni kupo kulingana na Yesu mwenyewe aliyeishi na anaishi mbinguni
Ok, tunawezake kuthibisisha maandiko hayo maandiko kuwa ni kweli?
 
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.

Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake.

Shinda ni kwamba duniani kuna pande mbili zenye nguvu ya kwanza inaitwa NURU na ya pili inaitwa GIZA.

Kwa hiyo mwanadamu unaweza ukawa unapitia changamoto fulani kumbe ni upande wa GIZA unakutikisa ili utoke kwenye mstari mnyoofu.

Kataa kutumikia upande wa GIZA na uwe na tumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye kaandaa mazingira mazuri mbinguni kwa wote watakaoushinda upande wa GIZA na machukizo.

Jipe tumaini la kuwa miongoni mwa watakatifu watakao kuwemo kwenye Dunia mpya ijayo.

View attachment 3201461

View attachment 3201462

View attachment 3201463

View attachment 3201464

Kikubwa upande wa NURU uwe njia zako zilizo njema.
Yesu Kristo ndiye NURU ya ulimwengu na ndiye mlango wa kuingia mbinguni.
Ucha kuufanya moyo wako mgumu na ukakataa kujifunza kuhusu Yesu Kristo.
Ukimkaribisha Yesu katika maisha yako HOFU YA GIZA haitakuandama. Utaibuka mshindi na kuishinda Zinaa na uasherati, Pombe na Ulevi, Ushoga, Uchawi, mizimu, uabudu sanamu (uchawa), Mauaji, tamaa ya madaraka, hofu za kidini, dharau, matusi, masengenyo n.k

Tumwamini Yesu ili mapito yetu hapa duniani yawe ya nuru (utakatifu) na mwisho tukifa atupokee mbinguni kwa matarumbeta.

Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
View attachment 3201483
Yesu kristo awe njia na uzima wetu.
 
Back
Top Bottom