Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

Londonboi

Member
May 5, 2024
40
56
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.

Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake.

Shinda ni kwamba duniani kuna pande mbili zenye nguvu ya kwanza inaitwa NURU na ya pili inaitwa GIZA.

Kwa hiyo mwanadamu unaweza ukawa unapitia changamoto fulani kumbe ni upande wa GIZA unakutikisa ili utoke kwenye mstari mnyoofu.

Kataa kutumikia upande wa GIZA na uwe na tumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye kaandaa mazingira mazuri mbinguni kwa wote watakaoushinda upande wa GIZA na machukizo.

Jipe tumaini la kuwa miongoni mwa watakatifu watakao kuwemo kwenye Dunia mpya ijayo.

Screenshot_20250114-101159.jpg

Screenshot_20250114-101126.jpg

Screenshot_20250114-101105.jpg

Screenshot_20250114-101047.jpg

Kikubwa upande wa NURU uwe njia zako zilizo njema.
Yesu Kristo ndiye NURU ya ulimwengu na ndiye mlango wa kuingia mbinguni.
Ucha kuufanya moyo wako mgumu na ukakataa kujifunza kuhusu Yesu Kristo.
Ukimkaribisha Yesu katika maisha yako HOFU YA GIZA haitakuandama. Utaibuka mshindi na kuishinda Zinaa na uasherati, Pombe na Ulevi, Ushoga, Uchawi, mizimu, uabudu sanamu (uchawa), Mauaji, tamaa ya madaraka, hofu za kidini, dharau, matusi, masengenyo n.k

Tumwamini Yesu ili mapito yetu hapa duniani yawe ya nuru (utakatifu) na mwisho tukifa atupokee mbinguni kwa matarumbeta.

Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Screenshot_20250114-101159.jpg
 
Mtumishi nina swali, wanasema kule.mbinguni hakuna jinsia ya ke, sasa huku duniani ke wanaokufa katika usafi kule wanabadilika au?
Mbinguni mke na mume wakifanikiwa kuingia wanaitana kaka na dada,

Mke na mume ni duniani Kwa ajili ya kuzaana kimwili.

Mbinguni tamaa za mwili zinakuwa hazipo Bali hamu inakuwa ni kumtukuza na kufurahi ukuu wa Mungu.

Yesu alishasema, Mbinguni hakuna Kuoa Wala kuolewa, tunakuwa kama walivyo Malaika Mbinguni.
 
Maisha ya mbinguni ni matumaini wanayopewa watu wajinga ili wakubali kuteseka na kunyonywa na wajanja wachache. Nenda kaangalie familia na taasisi zinazosimamia dini zinavyoishi. Wanakula bata kwa pesa za wajinga wanaotoa kila siku wakiamini wanatengeneza hazina mbinguni...

Hivi huwa hamstuki mkiona viongozi wa dini wanavyopambania afya zao wakiumwa ama kupata ajali? Kama kweli mbingu ipo na bata lipo wasingekuwa wanahangaika kuokoa uhai. Amkeni, mnaibiwa...
 
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.
Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake.
Shinda ni kwamba duniani kuna pande mbili zenye nguvu ya kwanza inaitwa NURU na ya pili inaitwa GIZA.
Kwa hiyo mwanadamu unaweza ukawa unapitia changamoto fulani kumbe ni upande wa GIZA unakutikisa ili utoke kwenye mstari mnyoofu.
Kataa kutumikia upande wa GIZA na uwe na tumaini kwa Mwenyezi Mungu ambaye kaandaa mazingira mazuri mbinguni kwa wote watakaoushinda upande wa GIZA na machukizo.
Jipe tumaini la kuwa miongoni mwa watakatifu watakao kuwemo kwenye Dunia mpya ijayo.

View attachment 3201461

View attachment 3201462

View attachment 3201463

View attachment 3201464

Kikubwa upande wa NURU uwe njia zako zilizo njema.
Yesu Kristo ndiye NURU ya ulimwengu na ndiye mlango wa kuingia mbinguni.
Ucha kuufanya moyo wako mgumu na ukakataa kujifunza kuhusu Yesu Kristo.
Ukimkaribisha Yesu katika maisha yako HOFU YA GIZA haitakuandama. Utaibuka mshindi na kuishinda Zinaa na uasherati, Pombe na Ulevi, Ushoga, Uchawi, mizimu, uabudu sanamu (uchawa), Mauaji, tamaa ya madaraka, hofu za kidini, dharau, matusi, masengenyo n.k

Tumwamini Yesu ili mapito yetu hapa duniani yawe ya nuru (utakatifu) na mwisho tukifa atupokee mbinguni kwa matarumbeta.

Yohana 14:6
[6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
View attachment 3201483
Mungu ni Muweza wa Yote hakika. Nampenda sana.
 
Mbinguni mke na mume wakifanikiwa kuingia wanaitana kaka na dada,

Mke na mume ni duniani Kwa ajili ya kuzaana kimwili.

Mbinguni tamaa za mwili zinakuwa hazipo Bali hamu inakuwa ni kumtukuza na kufurahi ukuu wa Mungu.

Yesu alishasema, Mbinguni hakuna Kuoa Wala kuolewa, tunakuwa kama walivyo Malaika Mbinguni.
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! waislam wanaamini mbinguni kuna wanawake bikra 70!! na vijito vya pombe,,,yaani kwa mujibu wa Q'RAN TUKUFU,mbinguni ni MIKASI NA MI2NGI!!!
 
Mbingu ya Islam Iko chini, lakini mbingu ya WATAKATIFU Iko juu.

Ukijua Kuna Mbingu ya kwanza Hadi ya tatu, ndipo utajua mbingu ya Islam Iko tofauti na ya wakristo.
 
Back
Top Bottom