Mbeya: Watumishi 11 wasimamishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki vya Kidato cha Nne

Sawasawa going on magufuli juhudi unazochokukua wewe na serikali yako tunaziona
Bila shaka ulisomea saint Joseph university au udom. Maana hata Jesca Magufuli kilaza anasoma UDOM,
NB udom nimeitaja sababu ya kuwepo kilaza mmoja anaeshangaza nchi nzima jinsi alivyofika fika udom.
 
Kwa hili la vyeti feki namuunga mkono JPM aje na kada nyingine kama vile jeshi,polisi ualimu
 
Kuna kazi nyingi tu idara ya Afya/Hospitalini hazihitaji hata kujua kuandika sentesi moja ila semeni tunaenda na nyakati
 
Nchi imejaa viongozi wenye mawazo ya kipuuzi hii sijapata kuona.

Hivi katika miaka kumi ya kiti cha bunge nani anamfikia Dr. Tuli in terms of higher qualification za sheria? Leo hii wenzake wanaweza fanya kitu kile kile lakini wana experience tosha ya kazi kuweza kuuma na kupuliza na UKAWA wakatulia. No doubt after a while atakuwa bora lakini kwa sasa lets face she is still learning.

Alikadhalika mtu keshafanya kazi miaka kumi cheti kinaweza kuwa kigezo zaidi ya work experience kweli? unless labda Kama nafasi yenyewe ya middle management and they are responsible for the decision or medical practitioners or clearly designed professional roles.

Kwengine ufanisi wa kazi ni jukumu la management kama kuna clear job description a good appraisal can easily spot the bad apples.

Atukatai kulikuwa na makosa lakini hizi mbinu za sasa ni uozo if anything vyeti viangaliwe huko juu kama watalaamu are qualified to make national decisions wanapwaya na hilo liko wazi ni rahisi sana kulaumu watu wa chini wakati matatizo halisi yako huko huko juu.
 
Kuna kazi nyingi tu idara ya Afya/Hospitalini hazihitaji hata kujua kuandika sentesi moja ila semeni tunaenda na nyakati
Jeshini ndio usiseme akiamua kusaka wenye vyeti feki na vilaza zaidi ya robo tatu ya wanajeshi watafukuzwa kazi, hatari.
 
Hili zoezi litaacha majeraha kama sio madonda ndugu mengi nchini. JPM, you've got my full support.
 
Ha ha hawa ndio waliokuwa wanatuimbia tutaisoma namba walijua mfumo utakuwa vile vile, utabadilika tuu kama upinzani ukiingia, hakika vinyeo vinawasha sasa
 
Back
Top Bottom