Mbeya: Mama amchana mtoto kichwani kwa kumpiga na kuni kisa kuiba Tsh. 1,000, Mtoto ashonwa nyuzi

Nimekumbuka ule Uzi mtoto kaiba maandazi shule kaadhibiwa Na walimu akaruka dirishani akaumia Comment za watu humu
Walimu njaasana kama mtoto kaiba alikuwa ana njaa kwanin achapwe sijui nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wengine wakafika mbali ooh walimu vichaa

Leo mtoto kapigwa kuni ya kichwa na mamayake mzazi kisa buku Hao watoto wenu huwa hawashibi au wazazi na nyie mna njaa sana Hadi mpige watoto hivo?
 
Wengi wanao tete juwa huyo Mama kakasea ndio huwa watoto wao wanawashindwa na mwishowe wanakuwa majambazi,vibaka na makahaba.

Bora huyo kapigwa na ukuni sisi tulikuwa tunapigwa na bapa za panga,sasa hivi tumenyoka kama moja
 
Inawezekan ni bahati(mbaya au nzuri).
Najaribu tu kuwaza ingekuwa fimbo ya mwalimu ndo imechana kiganja tu achilia mbali kichwa...
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Hapa Uzi ungekuwa unasoma ukurasa wa 2000 saa hii na manaeno yakejeli yote yangekuwa hapa ila ukweli wazazi ndo walemavu wa kufundisha maadili watoto wao
 
Majambazi na wezi wengi huwa wanaanza kwa kudokoa nyumbani afu wazazi wapo tu wakisema,mwanangu Junior ujue hiyo siyo tabia nzuri
 
Nimekumbuka ule Uzi mtoto kaiba maandazi shule kaadhibiwa Na walimu akaruka dirishani akaumia Comment za watu humu
Walimu njaasana kama mtoto kaiba alikuwa ana njaa kwanin achapwe sijui nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wengine wakafika mbali ooh walimu vichaa

Leo mtoto kapigwa kuni ya kichwa na mamayake mzazi kisa buku Hao watoto wenu huwa hawashibi au wazazi na nyie mna njaa sana Hadi mpige watoto hivo?
Na wazazi nao vichaa ama?

Sasa hivi, wasio na watoto yaan wasiojua malezi ndiyo wanaharakati wa kutetea haki za watoto!! Ukiwasikiliza umepoteza kizazi chako mdau!!

Mie nashukuru, nimelea sana! Nayajua malezi haswa!! Nilipoanza kazi tu jukumu la kwanza nilichukua watoto waliokatisha ndoto zao, watoto wa ndugu pamoja na wadogo zangu!!

You can imagine mtoto kamaliza std 7, kijijini! Kagoma kwenda secondary, anavuta bangi jeuri kiburi then kumdadilisha ndiyo umbembeleze wacha hizo tabia!! Utakufa na stress!! Nilikuwa napiga jamani, piga haswa mpaka wote walinyooka na kusoma!!

Nina vijana wameajiriwa sekta mbalimbali kama 9 hivi niliowatoa mtaani leo hii ni maofisa wanasaidia wazazi wao, wakijikusanya wananiita mjomba H.... (nitavujisha utambulisho wamo humu, jina la mtu katili duniani) njoo upombeke!! Nami nafurahi wakikubali viboko viliwabadilisha!! Baada ya kuoa nikaacha japo automatically hutokea ninao watatu ndugu wa mke wangu!!

Wakike hawana tabu sana, ila wa kiume jamani na malezi ya vijijini ni hasara tupu!!

Lengo la kupiga si kudhuru ni kuonya, sasa inategemea mtoto kama ni nyoofu kiboko kimoja tu cha onyo kinatosha!! Ila kuna mitoto jamani, unafungia ndani unapiga kweli kweli then asubuhi anapita na kuku zako mbili bandani anakwenda kuuza apate ya bange!! Hapo lazima uongeze ujazo wa adhabu huwezi muonya kwa bakora mbili tena!
 
Nimeshtuka kuwa makini sana na hilo neno ukuni wahuni wamesha libadilisha lina maana nyingine mbaya sana siku hizi
 
Hiyo ni ishara ya umaskini na sio kingine, kuna namna ya kuonya na sio kutaka kuua mtoto kwa ukuni kichwani, sawa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Acha kabisa mm tukio nalokumbuka nilikuwa mdogo kunamdada jirani nilikuwa nampenda sana yeye anasoma shule ya msingi sikumbuki ni darsa la ngapi ila madarasa mm nipo chekechea ninapokaa kulikuwa naduka akawa ananituma niibe ela ananichoreshea ramani zote nilikuwa mpole sana sikuweza kukataa
Kilasiku nampelekea ela sichukui hata 50 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚yule dada Mungu amlaani siku nilofumwa Sasa mtaa ulisimama Kwa muda
Kumbe ushawahi kuwa Muweka hazina mzuri
 
Sasa hivi, wasio na watoto yaan wasiojua malezi ndiyo wanaharakati wa kutetea haki za watoto!! Ukiwasikiliza umepoteza kizazi chako mdau!!

Mie nashukuru, nimelea sana! Nayajua malezi haswa!! Nilipoanza kazi tu jukumu la kwanza nilichukua watoto waliokatisha ndoto zao, watoto wa ndugu pamoja na wadogo zangu!!

You can imagine mtoto kamaliza std 7, kijijini! Kagoma kwenda secondary, anavuta bangi jeuri kiburi then kumdadilisha ndiyo umbembeleze wacha hizo tabia!! Utakufa na stress!! Nilikuwa napiga jamani, piga haswa mpaka wote walinyooka na kusoma!!

Nina vijana wameajiriwa sekta mbalimbali kama 9 hivi niliowatoa mtaani leo hii ni maofisa wanasaidia wazazi wao, wakijikusanya wananiita mjomba H.... (nitavujisha utambulisho wamo humu, jina la mtu katili duniani) njoo upombeke!! Nami nafurahi wakikubali viboko viliwabadilisha!! Baada ya kuoa nikaacha japo automatically hutokea ninao watatu ndugu wa mke wangu!!

Wakike hawana tabu sana, ila wa kiume jamani na malezi ya vijijini ni hasara tupu!!

Lengo la kupiga si kudhuru ni kuonya, sasa inategemea mtoto kama ni nyoofu kiboko kimoja tu cha onyo kinatosha!! Ila kuna mitoto jamani, unafungia ndani unapiga kweli kweli then asubuhi anapita na kuku zako mbili bandani anakwenda kuuza apate ya bange!! Hapo lazima uongeze ujazo wa adhabu huwezi muonya kwa bakora mbili tena!
Kabisa kulea kugumu sana lakini wasiojua malezi kazi kulaumu watu wa pembeni wakiwanyooshea watoto wao waliowashindwa
 
Back
Top Bottom