MBATIA: Utumbuaji majipu, nani atamfunga paka kengele?

Hivi NCCR MAGEUZI bado kipo hiki chama?? mbatia angejiweka bize kukijenga maana karata aliyoitegemea ya Kafulila imegonga mwamba!!
 
magufuri sio mwanasiasa ni mtendaji lazima waliozoea porojo washindwe kumwelewa.
planning utaziona matokeo yake mda sio mrefu.
Porojo zipi? Kivuko kibovu cha DSM -Bagamoyo ni porojo? Lugumi ni porojo?
 
Hahaha Mbona Lugumi amewakwamisha mnatetemeka ovyo...kapiga pesa inayozidi bajeti ya wizara ya Nape! Unalijua hilo?
Lugumi kapiga dili kila wizara isipokuwa wizara zingine alitumia majina ya kampuni zake zingine ana watetezi kila wizara, huyo ndiyo kiboko ya kutumbua majipu.
 
Kamati inafanyia kazi ila mnataka majibu haraka!!;mbatia atakwama tu!!;upinzani kutegemea udhaifu wa ccm hamtafika kokote!!;fanyeni promo sera zenu!!
 
Kama. Unajua. Kiingereza The Queen has formally named the largest ever warship built by the Royal Navy by smashing a bottle of Whisky against it in a formal ceremony.

Hujui kuwa Queen ndo mwenye nchi tofauti na uchaguzi kila baada ya muda lazima rais aua waziri mkuu achaguliwe
 
magufuli kwa sasa hana mpinzani anakubalika anaposimamia kile anachokiamini. sintasahau kauli yake hii

"tumeamua nchi iende na itakwenda atakayeamua kutukwamisha atakwama yeye"

upinzani wafanye siasa kwa lengo la kuisaidia serikali iliyoko madarakani kufanya kazi vizuri.

lakini kama lengo lao ni kuichafua serikali na raisi wake waonekane wachafu wananchi washindwe kuiamini serikali hawatafanikiwa.

wasubiri 2020.
Toka ameongea hiyo kauli kipi kakifanya??
 
Anatumbua madagaa huko mapapa wanatesa angeanza na lugumi iptl escrow nyumba za serikali tungemwona mwanaume kaingia ikulu.na yy km ni mwanaume arudishe bunge live
 
Back
Top Bottom