Ukawa wamebaki kutafuta kick za kutokea kwani hawana hoja yoyote kwa sasa zaidi ya kuibuka na matukio ya msimu. Wacha magufuli aendelee kutekeleza ilani yao kama walivyosema awali. Na inasikitisha kuwa na upinzani wa hovyo kama huu kwani leo wakisema shati hili ni jeupe kesho wanajisajau ni jekundu. Bure kabisa