Mbappe ashtushwa na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
464
1,136
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden.

Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la ubakaji lilitokea kwenye hoteli iitwayo Bank , Oktoba 10.

Vyombo vya habari nchini humo vimemtaja Mbappe kuwa ndiye anayehusishwa na tukio hilo na alikuwepo jijini Stockholm wiki iliyopita katika hoteli ambayo polisi wameitembelea kama sehemu ya uchunguzi.

Shirika la habari la SVT la nchini Sweden limeeleza kuwa vipo viashiria vya kuridhisha kuwa tukio hilo lililotokea, hata hivyo mshukiwa hajatajwa.

Mwanasheria wa Mbappe amelaani vikali tetesi hizo na kueleza kuwa zina nia ya kumchafua mwanasoka huyo.

Aidha, Mwanasheria huyo amesema Mbappe yupo katika hali ya utulivu kwani anajua hahusiki na suala hilo.
 
Basi dogo atakuwa na gundu sana, au kuna mila za kibrazil zinahitajika? Kwa kweli baba yake halisi(Dida) ajitokeze aokoe jahazi
 
Sheria za ulaya zinakandamiza wanaume na kuwaeba kupitiliza wanawake.

Mabinti kwa kulijua hili husingizia kubakwa kupata pesa kilaini na hata ikijulikana wamesingizia hawashtakiwi.

Hio ndio ulaya
Ndiyo maana wanaume wengi wanatamani kuwa wanawake hahaha. Yaani Ulaya wana sheria za kishenzi sana. Yaani hata kama msichana kama alisalimiana na Mbape tu basi hilo balaa. Kuna jamaa mmoja aliwahi nenda club sweden na wakapatana na mdada huko club wakiwa wamelewa wote wakaja home kwake pamoja ile asubuhi demu anauliza nimefikaje hapa aisee jamaa alikuja kubebwa na polisi akashitakiwa ubakaji ila kesi alishinda mwisho wake hawataki kabisa hawa ngozi nyeupe
 
Mbappe ana ulinzi mkubwa tu hata na washauri team nzima aende kubaka?
Si anaita tu anayemtaka aletewe na hawezi kufanya hivyo.
Hao wanataka fursa tu.
Hizo kesi Tiger Wood,Thabo Mbeki walipigwa mchezo huo huo.
Vijana wengi sana wa kiafrica wamerudishwa kwao au kupata kifungo kwa kesi za kusingiziwa.
Mtu mnakunywa anasema twende kwako,
Ukimuingilia asubuhi kunakucha kesi hii hapa.
 
Mbappe ana ulinzi mkubwa tu hata na washauri team nzima aende kubaka?
Mbappe ana ulinzi hawezi kubaka ??

Sasa chumbani anaingia na mlinzi ????

P Diddy hana ulinzi?

Lile zee producer la Holywood, Harvey Weinstein, jitu linalo saini cheki za kina Denzel, De Caprio, Tom Cruise, Jonny Depp, Will Smith, Samuel Jackson.... halina ulinzi ? Haliwezi likaita demu likamla kwa hiari ? Na bado wana kesi za repu.

Prince Andrew mdogo wake King Charles, hawana ulinzi wale watu ?

R Kelly, Bill Cosby, Russell Simmon... hawalali na demu bila kumtilia kidonge. Wale hawana ushawishi kwa mademu?

Au unadhani hela anayo Mbappe tu? Mbappe hatakuwa tajiri wa kwanza kubaka.
 
Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden.

Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la ubakaji lilitokea kwenye hoteli iitwayo Bank , Oktoba 10.

Vyombo vya habari nchini humo vimemtaja Mbappe kuwa ndiye anayehusishwa na tukio hilo na alikuwepo jijini Stockholm wiki iliyopita katika hoteli ambayo polisi wameitembelea kama sehemu ya uchunguzi.

Shirika la habari la SVT la nchini Sweden limeeleza kuwa vipo viashiria vya kuridhisha kuwa tukio hilo lililotokea, hata hivyo mshukiwa hajatajwa.

Mwanasheria wa Mbappe amelaani vikali tetesi hizo na kueleza kuwa zina nia ya kumchafua mwanasoka huyo.

Aidha, Mwanasheria huyo amesema Mbappe yupo katika hali ya utulivu kwani anajua hahusiki na suala hilo.
Huko nako fitina kama bongo yanga na simba kabla ya el classico jumamosi!
 
Sasa chumbani anaingia na mlinzi ????

Mbappe ana ulinzi hawezi kubaka ??

P Diddy hana ulinzi ?

Lile zee producer la Holywood, Harvey Weinstein, jitu linalo saini cheki za kina Denzel, De Caprio, Tom Cruise, Jonny Depp, Will Smith, Samuel Jackson.... halina ulinzi ? Haliwezi likaita demu likamla kwa hiari ? Na bado wana kesi za repu.

Prince Andrew mdogo wake King Charles, hawana ulinzi wale watu ?

R Kelly, Bill Cosby, Russell Simmon... hawalali na demu bila kumtilia kidonge. Wale hawana ushawishi kwa mademu?

Au unadhani hela anayo Mbappe tu? Mbappe hatakuwa tajiri wa kwanza kubaka.
We wacha kukariri wewe,sijui hata km unajua ujinga huo unatokea kwanini.
Kuna kesi nyingi za kijinga tu kuumiza watu na haswa Sweden.
Kwanini?
Uongo mdogo mtu anapelekwa jela na binti au mama huku uraiani analipwa mamilioni ya pesa bure tu.
Badae huwa wanakiri kabisa kwamba walifanya uongo.
Hiyo nchi wana tabia mama ya kukariri,
Snoop dogg alikamatwa kwenye reggae festival kwamba ana bange.
Wamemsachi na kila gari alilokua nalo hakukutwa na bangi,hiyo mara ya pili.
Snoop alisema haendi tena hiyo nchi fans wake wamfate popote duniani.
We mzima,unaitwa unaenda kwenye party,unavuliwa nguo unalalwa,mpaka unakojolewa upo tu.
Na kesho unaenda kushtaki umebakwa.
Hivyo vibinti vina mihemko sana,kikiota chuchu tu kinaanza kuzagaa zagaa,viko vingi sana kutaka kudandia ustaa wa bure.
Mbappe kasema hana huo ukame wa kufikia kubaka,akitaka bibi popote duniani atampata saa yoyote kwanini abake?
Yule tajiri wa Chelsea aliyefilisiwa Roman abramovich
mbona aliwahi kupark boti yake ya kifahari pale Stockholm na watu wakatangaziwa wakale bata bure mle ndani walienda vibinti maelfu vidume walikua wachache tu.
Na vikatafunwa,asubuhi mapema vikatolewa jamaa kang'oa nanga katimua.
Hamna hata mmoja alifile case.
We unaongea ukiwa dunia ya ngapi?
 
Back
Top Bottom