Mazungumzo Sabasaba International Trade Fair Banda la UDSM

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,796
31,809
MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1

Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia.

Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine.

Sikuona kitabu cha Abdul Sykes.

Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni?

Akaniambia hakifahamu kitabu hicho.

Tukaingia katika mazungumzo.

Mazungumzo haya yaliendelea hadi ndani ya banda na waonyeshaji wengine na kwa hakika walifurahi kusikia mwandishi wa kitabu cha Abdul Sykes ni Alumni wa UDSM.

Hapo chini ni sehemu ya kwanza ya mazungumzo yetu.



View: https://youtu.be/IpZJYM2B-z8?si=b-XPXm2BmZNqYuje
 
Ingefaa spirit uliyonayo akatokea kijana wako au mtu yeyote akairithi ili jitihada zako zipate matunda siku ukiwa haupo
 
UDSM kamwe hawawezi kuweka kitabu kilichojaa majungu,uongo,uzandiki & hisia zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom