Mazishi ya Mbunge Viti Maalum Dkt. Elly Macha leo mkoani Arusha

Lowassa ni Fashionista haswaaaa!
Sijawahi kumuona kavaa nguo halafu isimpendeze.

Ana muonekano flani hivi,dah naimagine tu angekuwa ndiye rais sijui ingependeza vipi machoni kumtazama kama Rais.
5575cbc73d620e2b38fa3851e986285e.jpg

Hii ni picha yangu ya siku,long live Lowassa.
R.I.P Macha
Umenena kweli Mzee yuko.makini sana
 
Hicho kimo cha Ndugai?
Ndio tatizo lenu bawacha.Mnapenda kukashifu wenzenu lakini wakikashifiwa viongozi wenu mnatoa mapovu.
Waache wazike kwanza kamanda Nifah,wakimaliza tuendelee kupopoana
 
Peleka unafiki wako huko lumumba gharama zinakuhusu ni wewe? Kodi ipi unalipa wewe unaishi kwa wazazi kazi kujaza choo na kuandika upuuzi humu JF muda mwingine uwe unaficha upumbavu wako.
Mkuu punguza ukweli japo kdogo kwani unauma sana.......!nafikiri hatarudia kupost vitu kama hivi.

Watu wako kwenye huzuni analeta mzaha.......!
 
Lowassa ni Fashionista haswaaaa!
Sijawahi kumuona kavaa nguo halafu isimpendeze.

Ana muonekano flani hivi,dah naimagine tu angekuwa ndiye rais sijui ingependeza vipi machoni kumtazama kama Rais.
5575cbc73d620e2b38fa3851e986285e.jpg

Hii ni picha yangu ya siku,long live Lowassa.
R.I.P Macha
Sumaye nae!Soksi nyeupe za nini?hivi kuna watu bado wanavaa soksi nyeupe na viatu vyeusi kama wanafunzi,hela yote alioiba na kusoma Harvard,hakutoa tongotongo?
 
Back
Top Bottom