Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Feb 13, 2017
371
1,145
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu ipo malangoni pake ataipata mda siyo mrefu

Mkumbusheni kwamba sisi Yanga ya 2024 hatuna muda kumpa Kiki tuko imara kama JK na siyo PK Wala EL katika ramani ya EA.
Mwambieni pale alicheza Hamisi Tambwe hawezi kufikia level zake,pale kulikuwa na Makambovic alienda na alirudi tukampokea kwa Upendo na heshima,alikuwepo Ben Mwalala alikuwepo Boniface Ambani achilia mzawa mwenye rekodi ya KIPEKEE Mohamed Hussein Mmachinga Daima.

Mayele tumempa huo ukubwa sisi mashabiki wa timu na Yanga ndiyo imemfikisha uko Misri akae kwa kutulia naona siku hizi mpira kaamua kuchezea kwenye mitandao badala ya uwanjani
 
FB_IMG_1707757557796.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge babaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni yao tunamtakia Kheri Ila tunamlumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu akitafta aibu ipo malangoni pake ataipata mda siyo mrefu

Mkumbusheni kwqmba sisi Yanga ya 2024 hatuna muda kumpa Kiki tuko imara kama JK na siyo PK Wala EL katika ramani ya EA na hatutalipa kiksasi sababu siyo desteri yetu tulimpa ajira Kama waajiriwawengine hivyo yeye siyo special Bali atafute uwanjani Kama waajiriwa wengine ndani na nje ya uwanja sisi Kama Yanga Taasisi hatutazungumzia Mambo personal ya mwajiriwa wetu hadharani tumekuwa kila idara.
Majini fc vichwa wazi.
Screenshot_20231231-222055.jpg
 
Kwahiyo mlitaka akae kimya ? Ngoja aseme , ukweli humuweka mtu huru . MAJINI FC .
Mayele anajenga mazingira ya kurudi TZ aende azam,yan sababu ya kusema viongozi wanamsema eti kuna kiongozi wa azam kamuambia kuna kiongozi wa Yanga alimuambia pyramid afungi,yan kaambiwa na mtu wa azam kuhusu kiongozi wa Yanga!nilijua iko kitu kaambiwa face to face na huyo kiongozi!
 

Attachments

  • VID-20240212-WA0015.mp4
    10.4 MB
Yanga bingwa msimu huu


Simba mnabisha hili au tuendelee na mayele.

Nyie na kmc, prison, tabora united n.k ni kitu kimoja hamna changamoto
 
Kwanza ni non sense kujadiliana vitu visivyo na ushahidi tutaonekana ni mental and crazy .
Ni Kama Leo Mtaani mtu anakushushia Zengwe Halina kichwa wala miguu utasumbuka kujadiliana nae ?
 
Back
Top Bottom