Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
IMG-20170907-WA0006.jpg


Sent from my TV
 
Mungu husimama na ukweli na watu wakweli. Uutazame ukweli wa TL ambao umewasaidia wengi tunaowajua na tusiowajua. Mungu wetu tunakuomba msimamie mtu wako TL ambaye daima amejivika ukweli kila alipokuwa.

Kwa wakristo, UKWELI kwenye biblia umeandikwa kwa zaidi ya 200, nyuma ya UPENDO. Mtu asiyependa ukweli ni zao la shetani. Watanzania umefika wakati wa kuamua, au kusimama na Mungu aliye asili ya ukweli au kusimama na shetani aliye baba wa Hadaa, vitisho na uwongo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom