Maxence Melo awatambua Dr. Gwajima na Dr. Mwigulu kwa kushiriki mijadala JamiiForums

Kwa upande wa Dkt Gwajima, nadhani anastahili pongezi. Ila kwa huyo mwingine, naona kitambo tu alishakimbia humu jukwaani kama walivyofanya wenzake wengine maarufu.

Unless otherwise kama na yeye kwa sasa ameamua kutumia ID fake kama akina sisi!! Hapo sawa.
 
Kabisa mkuu,hizo story of change hazina impact zozote. Zinaishia kwenye makaratasi tu.
Hapana zina impact kubwa sana na mapendekezo yake mengi yalishawasilishwa serikalini na mengi yamefanyiwa Kazi
Shida niionayo hapa ni kwamba serikali haiwezi kusema wazi haya ni mapendekezo kutoka JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hauridhishwi na utendaji wa moderators wa JamiiForums una room ya kuwasilisha malalamiko yako kwenye Jukwaa la Complaints. Hii yote ni kuhakikisha wanachama wote wanapata haki ya kutoa mawazo yao ndani ya JamiiForums.

Aidha, moderators wa JamiiForums wanafanyakazi zao kwa kufuata muongozo wa mjadala ( https://www.jamiiforums.com/threads...mwongozo-wa-ushiriki-kwenye-mijadala.1753332/ ). Ukitendewa kinyume na yaliyomo hapo tafadhali andika kwenye Jukwaa la Complaints.

Karibu.
Kwamba huko kwenye complains ndio hamfuti? In short nyie mods mumechangia JF kuharibika. You will pay for this.....tuondoeni mbaki wenyewe. Alaaaa
 
Kwa upande wa Dkt Gwajima, nadhani anastahili pongezi. Ila kwa huyo mwingine, naona kitambo tu alishakimbia humu jukwaani kama walivyofanya wenzake wengine maarufu.

Unless otherwise kama na yeye kwa sasa ameamua kutumia ID fake kama akina sisi!! Hapo sawa.
Unless otherwise kama na yeye kwa sasa ameamua kutumia ID fake kama akina sisi!! Hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika siku ya kuwazawadia washidni wa stories of change 2023, sherehe zilizofanyika Hyatt Regency, usiku wa Oktoba 7, 2023. Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums alitambuamchango mkubwa wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dr. Doroth Gwajima.

Dr. Gwajima ametajwa kama mmoja wa mawziri ambao wameingia JamiiForums ili kusikia Mawazo ya wananchi, kuelezea baadhi ya vitu na kutoa taarifa kuhusu wizara yake. Jambo hili limechukuliwa kipekee kwa kuwa ni viongozi wachache ambao wako humu kwa majina yao halisi na kuwa verified.

Kwasababu sawa na hiyo, Maxence amemtambua Dr. Mwigulu Nchemba ambaye ni Waziri wa fedha na mipango kwa kushiriki na kujibu hoja za wadau ndani ya JamiiForums.

Katika sherehe hizo ambazo zilimpatia Athanas Myonga Tsh. Milioni 7 kwa kuwa mshindi wa kwanza, ndugu yetu maarufu humu JamiiForums Mshana Jr, pia alitajwa na Maxence Melo. Mshana ni kati ya wanachama walioalikwa kwenye shughuli hiyo Kwenda kula bata. Alipiga suti kali na tai ya buluu Kwenda sawa na mazingira.

Nadhani Mshana amejijengea heshima kubwa ndani ya JF na nje ya JF ndio sababu ya JamiiForums kumualika katika shughuli zake. Suala kama hili ni wito kwa wanachama wengine kuwa wazuri ili kupata fursa za kuinteract na wadau wengine kujenga connections.

Aidha kuhusu mada yangu kuu nadhani ni vyema kwa viongozi wengine kujiunga JamiiForums ili kupata Mawazo ya wadau na kushauriana ili wananchi wasione wameachwa Upweke.

Kutoka Morogoro Ndanindani (Nimerudi baada ya kula kuku wa Stories of Change 2023). Ni mimi Analogia Malenga

9u9a5402-jpg.2777953
Mkuu, share Picha ya Mshana Jr

Wengine tungealikwa Baada ya Mkutano Ma Polisi wangetutia Nyavuni Kwa uchochezi wetu

Sent from my Nokia G60 5G using JamiiForums mobile app
 
Hawa JF wa siku hizi wame ajiri hadi TISS, ni Thread za upuuzi tu ndio zipo JF. Zenye akili hufutwa na Vi moderator vya mchongo.
hata mimi nashangaa, kasi ya thread kufutwa ni kubwa sana siku hizi.

una comment kwenye uzi fulani, ukirudi baada ya dakika kadhaa unakuta uzi ulishafutwa.
 
Mshana watu wanasemaga wewe ni mchawi, mbona hufanani na kushika matunguli?
Kwa mwonekano hata ukienda kushiriki kikao cha walozi kama wasipotumia teknolojia yao ya utambuzi wanaweza kusema umeenda kuwapeleza.
mazingira tofauti hukufanya uvae kulingana nayo

Mchezaji akiwa uwanjani hawezi kuvaa overall lakini akienda kulala hawezi kuvaa jezi

Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom