PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,142
Ohooo!Nasikia na ule mchezo ambao mkuu wa mkoa kakataza anashiriki pia.
Ohooo!Nasikia na ule mchezo ambao mkuu wa mkoa kakataza anashiriki pia.
Yea hapo ndo utata unapokujaBora aweke mambo wazi. Hata muda mwingine huwa simuelewi.
Hilo swala LA madawa alikuwa anachat na mtu insta
Yes,kama mwaka na kitu nadhani alilia on air ikabidi mtangazaji kukuta mahojiano hayoKahojiwa akaanza kulia? Au na yeye punga?
Mkuu umenitisha sasaMke wake pia, anamuhudumia karibu kila kitu, then Dee anaenda kugawa kwingine
Alokwambia unga unaachwa kabisa nani?Sijasikia vizuri................
Dogo karudia tena ngada? ausijaelewa point muhimu hapo..?
Maombi tu ndo yatawaokoadah wasanii wetu kazi kweli kweli
Meneja wa diamondUyo jamaa ni nani katika bongo flava?
Kazi kweli kweli. Huwa wanasema tu. Ile kitu sio mchezo mchezoAlokwambia unga unaachwa kabisa nani?
Mtumia UNGA hupumzika tu na si kuacha,ile ni sumu iliyopo kwenye damu imeshaenea.
Hao wanaosemaga wanaacha hao wanazuga tu,haya ray C alisema ameacha ila hali ya unga imemuumbua
Hakunaga kuacha,tena kama wanavyosema huku hawanusi wanajidunga dunga tuuuuKazi kweli kweli. Huwa wanasema tu. Ile kitu sio mchezo mchezo
Nimepoteza ndugu zaid ya mmoja, na wawili wamekua walemavu kabisa kisa hayo madude yao ya kunusanusa.Hili ni janga aisee. Wamejiingiza kwenye matatizo makubwa sana
KabisaMaombi tu ndo yatawaokoa