Geofrey Maseta
JF-Expert Member
- Nov 24, 2015
- 1,115
- 916
Haya mkuu ..lkn siasa ni maishahapana ndibeela lokholo one nandinokwa khabisa esiasa etsikhuendelela etse
Haya mkuu ..lkn siasa ni maishahapana ndibeela lokholo one nandinokwa khabisa esiasa etsikhuendelela etse
Haya mkuu ..lkn siasa ni maisha
Tatizo watu wengi wa makete mnapenda kuishi nje ya makete hivyo kufanya wilaya kuwa km pori LA kuchungia mifugo,hakuna miradi mkubwa ya kuivutua seeikali kuwekeza huko zaidi ya hospitali .ila mnaongoza Kwa kuwekeza mikoa mingine mubaki hivohivo kuku nyinyiHabari wana jamii?
Mimi nimezaliwa mkoa wa Njombe wilaya Makete.Kutokana na tatizo la barabara nyingi katika wilaya yetu kuwa ni za vumbi na kufanya usafiri kuwa mgumu sana.Mara nyingi napata wazo la eneo letu la Makete kujitenga kutoka nchi ya Tanzania na kuunda nchi mpya ya Makete ili tuweze kupata maendeleo nasisi kama wilaya zingine.Tatizo la Makete ni barabara tu kwa asilimia nyingi.Niko kijijini kwetu Madihani tarafa ya Bulongwa nimerudi kwa ajili ya likizo.Ni muajiriwa mkoa wa Dar es Salaam.
Naomba kushauriwa.
Katani kwangu Ikuwo diwani ni wa Chadema na kuna kata zingine 7 zinaongozwa na UpinzaniSehemu yoyote ambayo imekataa upinzani ccm hawawezi fanya lolote maana tayari wanajua ni eneo lao. Makete sijui kama kuna hata mwenyekiti wa kitongoji kutoka upinzani achilia mbali mjumbe wa setikali ya mtaa/kijiji. Maeneo mengine ambayo hali ni hivyo ni wilaya za Ileje kule Songwe, Nanyumbu mtwara, Chamwino dodoma, Mafia nk