Mawazo ya pamoja: Tuandae utaratibu tuwashtaki TCRA kwa hili la ving'amuzi

By Sylivester Domasa

The Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) is considering whether to suspend free-to-air channels on pay TV services later this month to cut operational costs.

Since December 31, 2012 when Tanzania became the first country in mainland Sub- Saharan Africa to switch off its analogue television signal to digital, it was offering four free-to-air channels but now the regulator is considering freezing the plan.

Initially, Independent Television (ITV), StarTV, Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) and Channel Ten were offered freely by pay TV service providers under special government arrangements.

But for more than a month now, only the licensed multiplex operators Star Media Tanzania, Agape Media and Basic Transmissions (Digitek and Continental decoders) are offering the service while other operators; ZUKU, Azam Media and Multi choice opted for TBC and Channel Ten respectively.

Immediately consumers have raised dismay as to why the highly expected free-toview channels demanded subscription.

TCRA Spokesperson Innocent Mungy said the regulator was equally considering whether to extend the free-to-air channel arrangement or put the plan on ice.

He said for the past few years since the adaptation of digital migration, the government subsidised subscription burden on behalf of the people. "We're still negotiating with the government on whether or not to extend the service.

The initial plan comes to an end this month and it will either be a business of subscribers to pay for service," he said. The regulator observed that the law is very clear for the public broadcasting channel -TBC which will be freely aired.

According to Mr Mungy, the government will issue official statement later this month on whether it will extend the service or not. Azam Sales Manager, Mr John Bele, told the 'Daily News' in Dar es Salaam that the company and other operators had reached an understanding with the regulator to suspend free-to-air channels.

He maintained that the initial arrangement was a huge burden to the government yet, it denied revenues. "All the payment made by subscribers, a portion is basically channelled to the government in tax.he Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) is considering whether to suspend free-to-air channels on pay TV services later this month to cut operational costs.

Since December 31, 2012 when Tanzania became the first country in mainland Sub- Saharan Africa to switch off its analogue television signal to digital, it was offering four free-to-air channels but now the regulator is considering freezing the plan.

Initially, Independent Television (ITV), StarTV, Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) and Channel Ten were offered freely by pay TV service providers under special government arrangements.

But for more than a month now, only the licensed multiplex operators Star Media Tanzania, Agape Media and Basic Transmissions (Digitek and Continental decoders) are offering the service while other operators; ZUKU, Azam Media and Multi choice opted for TBC and Channel Ten respectively.

Immediately consumers have raised dismay as to why the highly expected free-toview channels demanded subscription.

This also allows channels to operate effectively," he told the 'Daily News'. According to him, operational costs have become relatively high pushing for new mechanism -suspending non-public channels.

"There is no need for majority subscribers to pay for TV service if they get ITV, Channel Ten, Startv, Clouds Tv and TBC. If all these channels are free we cannot do business and thus investment costs go up," he detailed.

Mr Mwansoka Mulimba, a Pay TV subscriber in Dar es Salaam, complained earlier that he has not been viewing his TV owing to lack of money to subscribe.

The irritated customer said he was initially bent on free-to-air channels when he ran off credit, but now he can only watch TBC. "I just need to pay to watch other channels.

I have no choice but my worry is on the poor families who hardly get end meet," he said.
Aisee duuh TCRA wana hamu ya kupelekwa mahakamani
 
Laiti kama serikali ya Magufuli ingekuwepo wakati TCRA walipozima mfumo wa analogia nina uhakika kuwa angekubali ombi la wanyonge walioomba kuwa mifumo yote miwili iendelee kufanya kazi.

Hata hivyo inaonekana kuwa hawa watu wa ving"amuzi walipenyeza dili zao za kibiashara kwa wakati huo na kuamua kuzima kimbo yote ya analojia wakati kuna makampuni yalikua tayari kuendelea kitoa huduma hiyo bure kwa wanyonge kupitia mfumo wa analojia .
 
Wabongo Kwa Kupenda Vya Dezo,Nadhani Na Magazeti Local Tcra Wafanye Mpango Tuwe Tunasoma Bure
Mkuu Unapozungumzia Dezo unakosea kwani wenye Television wenyewe ndio waliweka free on air na ni njia moja wapo ya kufanya upate view wengi hata ukifanya biashara wengi watataka kutangazia biashara zao kwako... kitu kama Facebook na Whatsapp wamesema ni free maisha.... na wameendelea kuliko maelezo huu uchuuzi wa kupitia vingamuzi vya kichina picha mbovu full focus kama ugonjwa wa machoni machoni red eyes hawana hata HD masikini hadi zimepotezewa kutizamwa tena ni pigo kubwa sana wamepata watu wa Station.. Biashara zinabuniwa so hamna bure lazima uelewe Umeme unalipia kutizama hiyo TV ufahamu pia pesa inakwenda Serikalini Kuna Mambo Mengine ukiona watu wanachangia jiulize je Wameguswa na nini? kwa mfano unaweza kuta humu wanachangia ila wamelipia lakini wanawasemea wale wasio na uwezo wa kulipia na pia Sheria zipo wazi kuwa ziwe free channel kama zinabadilishwa basi ijulikane na kama inafanywa kinyemela basi huo ni wizi na watu wanatakiwa kukemea ufisadi ujizi na dhurma kwa wahusika ikiwepo Serikali kwani Kodi n.k zinaenda kwao na wao ndio wafaidika wakuu kwa pesa za Uma sie zetu ni huduma tu sasa kama unachangia huduma na huduma hupati moyo wa kuchangia kodi kwa Serikali unatokea wapi ndio sera za ukandamizi zilizoahidiwa kwenye kampeni? sometimes unaweza ukampandisha mtu hasira zisizo takikana as if wewe ndie mchuuzi wa Star times or n.k
 
Well said mkuu,
 
naungana na hoja yako" mkuu kila akifafanua jambo lazima atarejea vifungu vya sheria mfano barabara ya ubungo na issue ya wamachinga lakini hili swala la local channels sijui wahusika wa TCRA wanazingatia nini" utaona tena mpaka mkuu alitamkie sambamba na muhusika kutumbuliwa"
well said
 
Naomba niwaweke Sawa jamani mnawalaumu bure hawa jamaa, wao hawako kwa ajili ya hayo makampuni ya ving'amuzi wala kudeal na makampuni ya simu yayowaibia watanzania kila kukicha kwa njia ya mb na dakika hewa!! Kuna kazi kwa ajili yao na kama huamini we post msimamo tofaut na serikali hii utaona mda mfupi tu ushashughulikiwa kimya kimya au kwa kutangazwa ili uwe mfano kwa wengine...hayo ya startimez kujipangia kutuonesha tibisii sio yao,,,hyo Dstv ndo kabisa hawawezi hata kuigusa na tukikubaliana kuwashtaki tutaishia kubezwa na kuitwa wazembe wavivu na wapiga deal walokosa cha kufanya... Punda afe tu cha muhimu mzigo ufike
 
tatizo kila mtu anamda wa kuangaikie maisha yake.kama kuna mwanasheria anaona anataka kutetea haki haende
 
Kumbuka wakat Hiki kipande cha ardhi ambacho ninyi mnakiita nchi ya Tanzania kinahama kutoka mfumo wa Anakojia kwenda Dijitali, kampuni kubwa ya Mfumo wa Kidijitali kutoka nchi ya China Startime iliingia mkataba na shirika la utangazaji la Taifa TBC katika ubadirishaji wa mitambo na ununuzi wa magari ya mitambo ya kisasa!

Ingawa mwanzoni mikataba ilikuwa ni kurusha channel za nyumbani bure, lakin mchina alipofungua tu mitambo akajiamulia cha kufanya!! Kwakuwa wore tunajua nchi hii na waafrika kwa ujumla wetu mbele ya Ngozi nyeupe(albino ruled out) huwa mikia yetu inafyata.

Azam wanaiga, wanasubiri huyu kingpin/tycoon startime afuate sheria ndipo nawao wafungulie local, unfortunately serikali inaogopa kuigusa Zuku bila kumgusa Adam na bila kumshika Startime.

Point to note!!
This country has got his/her own landlord.
Ulishawahi kujiuliza kwanini TvT ilibatizwa na kurudia jina la ukoloni TBC, au kwanini nchi zote former English colonies wanatumia jina sawa na BBC , KBC TBC UBC ZBC et el.
ni kwel kbs
 
ningekuwa jamiiforum ningewapiga tcra ban humu maana hawana faida hawajib maswal km haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom