Mawaziri wafuatao wanastahili kujiuzulu kumuunga Nape Mkono

Uliowataja wote hao hawawezi hapa kazi tu

Walizoea kula kushiba pesa zetu wananchi, wachape kazi au waachie wengine washike uskani walipo.

Hakuna kulelewa na kucheza michezo, kila mmoja anaamgaliwa.

Sure? Hakuna kulelewa? Wote au baadhi?
 
Mange kimambi pamoja na mapungufu yake, ila ameibuka mshindi, yote aliyoyatabiri ndio yanayoendelea kutokea. # Impeach Ngosha#
 
Mwigulunet mzee wa ugaidi alisema atakuwa shahidi duniani na mbinguni.....
Ccm Mungu anawaona sn
 
Wafuatao wakiweka njaa zao pembeni wanastahili kuungana na Nape kupinga udhalimu wa kimadaraka unaoendelea.

Mwigulu, Kigwagala, Makamba, Ummy,Jafo n.k. Jiuzuluni kupika kitendo cha Nape kufukuzwa kisa kasimamia ukweli juu ya Bashite.
Wajiuzulu kisa Bashite? Nitawadharau wakifanya hivyo. Bashite yupo kwenye self destruction mode atajilipua mwenyewe.
 
Muafrika hana utamaduni wa kujiuzulu, hivi umeona wapi raisi, waziri au mbunge akajiuzulu?

Watu wanatumikia matumbo yao mwanzo mwisho, jiulize tu jinsi Mwakyembe "alivyodhalilishwa" na bosi wake, ingekuwa kwa wenzetu asingekubali kuonekana "zoba" badala yake amekubali kuhamishwa wizara nyingine.
 
Uliowataja wote hao hawawezi hapa kazi tu

Walizoea kula kushiba pesa zetu wananchi, wachape kazi au waachie wengine washike uskani walipo.

Hakuna kulelewa na kucheza michezo, kila mmoja anaamgaliwa.
unachokiandika huwa unakielewa mwenyewe nadhani
 
Uliowataja wote hao hawawezi hapa kazi tu

Walizoea kula kushiba pesa zetu wananchi, wachape kazi au waachie wengine washike uskani walipo.

Hakuna kulelewa na kucheza michezo, kila mmoja anaamgaliwa.
We bibi,kwa hiyo Nape kawa mwizi?
 
Wafuatao wakiweka njaa zao pembeni wanastahili kuungana na Nape kupinga udhalimu wa kimadaraka unaoendelea.

Mwigulu, Kigwagala, Makamba, Ummy,Jafo n.k. Jiuzuluni kupika kitendo cha Nape kufukuzwa kisa kasimamia ukweli juu ya Bashite.
thubutuuuu.....
 
wabunge wote mkamshughulikie bungeni ambako ndio nyumbani kwetu. tunataka atiwe adabu.
Wafuatao wakiweka njaa zao pembeni wanastahili kuungana na Nape kupinga udhalimu wa kimadaraka unaoendelea.

Mwigulu, Kigwagala, Makamba, Ummy,Jafo n.k. Jiuzuluni kupika kitendo cha Nape kufukuzwa kisa kasimamia ukweli juu ya Bashite.
tiwe
 
Wakijiuzulu utawalisha wewe?
 
Uliowataja wote hao hawawezi hapa kazi tu

Walizoea kula kushiba pesa zetu wananchi, wachape kazi au waachie wengine washike uskani walipo.

Hakuna kulelewa na kucheza michezo, kila mmoja anaamgaliwa.
English please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom