Pre GE2025 Mawaziri Aweso, Bashungwa wakicheza muziki stejini wakiwa na vikapu Kichwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,113
5,783
Nimesoma kichwa Cha habari cha gazeti Moja kinasema huko Dar kuna tatizo kubwa la maji.
Yeye Awesso anacheza kwa kuridhika na Nini?
Kuna wilaya Moja kata mojawapo hawana maji wiki Sasa. Sijajua wanaishije. Ila watu wako wanacheza na vikapu kichwani
 
Chini ya sa100 Tz imeshuhudia levo ya juu kabisa ya uchawa kupata kutokea toka kuumbwa kwa Jamhuri ya wadanganyika, mi5 tena kwa mama!.
 
Kwa hela wanazopata inabidi tu ujizime data kwa kweli hata ingekuwa wewe usingeshindwa 🐼
Utashindwaje? Kama unajipigia mihela na hakuna wa kukuuliza, na pia una hakika ya kurudi bungeni kwa kuiba kura, au kuteka na kupoteza wapinzani wako, unashindwa nini?

Jenista Mhagama yeye aligaragara chini, ila mjanja alivaa nguo ndefu na kitenge juu, ili asimwage radhi,
 
😄

Ova
 
Kipindi hiki (kuelekea uchaguzi) huwa akili za wengi zinahamia 'zero ground'....!!
 
Tumefika bapaya sana, Yani hadi najiuliza pengine akina Lugakingira na Tamimu wangefanikiwa kwa mchonga tungekuwa na Hali tofauti na huyu upuuzi.
Unajiuliza mambo ya ki'Mbuzing'ombe' sana kama huwezi kutofautisha mambo ya wakati huo nawakati huu wa sasa!
 
Back
Top Bottom