luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,672
niombe radhi kuniita mtoto. Wacha tu nikusamehe mdogo wanguUnaongea sana we mtt!

daaaah! Mimi nashukuru sana kwa ushauri wenu mnaozidi Kunipa, kiukwel tangu nimelileta tatzo hili humu MMU nimepata ujasiri mkubwa sana najikuta naanza kumsahau kiulaini maana hata picha zake kwenye gallery yang nimezitoa. ila najuta kumpigia sana simu hapo mwanzo; but anyway nitayashinda yote.Mr Suprize soma alama za nyakati Mkuu. Kaa kimya naye akutafute ukiona kimya ujue haikuwa riziki yako hivyo endelea kuchakarika kivyako vyako.
Nimependa avatar yakoMfanyie ziara ya kushtukiza,ukweli utaujua
UKISHAPENDA SANA INAKUWA TATIZO-BE MODERATE,NDO UTAFAIDI VIZURI-ILA KWA HAYA MAELEZO YAKO INAWEZEKANA KASHAFANYA USAJILI MPYA NDO MANA ANAKUKWEPAHabari wana MMU!
Nimepatwa na tatizo la mawasiliano ndani ya siku za hivi karibuni katika mahusiano yangu na mtu nayempenda.
Tulikuwa tunawasiliana vizuri mwanzoni ila juzi mei mosi nampigia simu hapokei,text hajibu, iwe wasap or fb ila kote zinaonyesha seen,.
Jana nikamshirikisha rafiki yangu anisaidie nikampa namba akampigia akapokea, rafiki yangu akamuuliza kuna tatizo gan akajibu "hakuna tatizo lolote ila nipigie badae tuongee vizuri simu inakata chaji" hapo ilikuwa SAA 9 alasiri.
usiku jamaa akampigia Mara nyingi hakupokea akatuma text hakujibu..Leo tena jamaa yangu amempigia Mara kibao shemeji yake hajapokea simu wala kujibu text. Mimi mwenyewe pia nikafanya hivyo but sikufanikiwa hadi sasa.
location yake na Mimi tupo mbali kidogo kutokana na ishu za kikazi , pia taratibu za kuoana bado hazijakamilika so tupo kama wachumba. mahusiano yamedumu zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Binafsi sijamkwaza kwa lolote baya ila nashindwa kumwelewa, na nini nifanye ili mawasiliano yangu na yeye yarudi kwenye mstari? nisaidieni wana MMU ila msinikatishe tamaa maana nampenda kweli
Hahahah we jamaa umeniua mbavu sana man.. Hao washauri nguli nikiwafikiria nahisi kufa kwa kicheko maana Watamuongezea sindano tu hahahahahahahhaha noma sana, et hatojuta!Mkuu mbona tatizo lako hilo rahisi sana tena usiwaze hii ndo JF ngoja waje washauri nguli wa haya mambo....
Hutojuta mkuu
Pole kwa hasara ya likizo bila malipo mkuu.Mkuu hali kama yako imewahi kunikuta hv majuzi tu....kuna kidemu nipo nacho chuo mwenywe certificate mm nipo bachelor... Bwana wee tumeongea kila kitu mwanaume hadi nikaanza kutoka nae out kama Mara mbili hvi chaajabu alikuja kunichunia kama vle hatujuani hta ukimuona na ukamuita anavuga kama si yy ....nilivo msoma nikasema isiwe tabu nami nikaa kiyma hadi Leo japo huwa inanuma kwa gharama zangu alizo tumia halaf hat mchezo hakunipa......nawe sasa anza kuna nae making huyo demu wako kwan wanaanzanga kujaribu baadae wanapotea mazima ...kaza buti mkuu mademu wengi mno ,mm shataka mwngne najilia vyang taratibu...
Hahahah we jamaa umeniua mbavu sana man.. Hao washauri nguli nikiwafikiria nahisi kufa kwa kicheko maana Watamuongezea sindano tu hahahahahahahhaha noma sana, et hatojuta!
Nivigumu kurudisha mawasiliano ktk msitari kama muhusika hataki na huenda kuna kirusi kimeingilia kati, kama ni rafiki tu kuwa mpole potezea, ila kama ni mke na watoto , jihusishwe na watoto tu!
Vinginevyo ukishupaza shingo itavunjika mkuu!
Kaka mawasiliano ndiyo kila kitu katika uhai wa mahusiano au mapenzi au ndoa, bila mawasiliano ujue tayari ndoa imekufa hiyo!Habari wana MMU!
Nimepatwa na tatizo la mawasiliano ndani ya siku za hivi karibuni katika mahusiano yangu na mtu nayempenda.
Tulikuwa tunawasiliana vizuri mwanzoni ila juzi mei mosi nampigia simu hapokei,text hajibu, iwe wasap or fb ila kote zinaonyesha seen,.
Jana nikamshirikisha rafiki yangu anisaidie nikampa namba akampigia akapokea, rafiki yangu akamuuliza kuna tatizo gan akajibu "hakuna tatizo lolote ila nipigie badae tuongee vizuri simu inakata chaji" hapo ilikuwa SAA 9 alasiri.
usiku jamaa akampigia Mara nyingi hakupokea akatuma text hakujibu..Leo tena jamaa yangu amempigia Mara kibao shemeji yake hajapokea simu wala kujibu text. Mimi mwenyewe pia nikafanya hivyo but sikufanikiwa hadi sasa.
location yake na Mimi tupo mbali kidogo kutokana na ishu za kikazi , pia taratibu za kuoana bado hazijakamilika so tupo kama wachumba. mahusiano yamedumu zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Binafsi sijamkwaza kwa lolote baya ila nashindwa kumwelewa, na nini nifanye ili mawasiliano yangu na yeye yarudi kwenye mstari? nisaidieni wana MMU ila msinikatishe tamaa maana nampenda kweli
Wengne hapa tangu Desember mwaka jana imenibidi tu ni![]()
![]()
![]()
![]()
Wengine ukiwapigia sana simu wanaona unaboa, halafu ukiamua kukatisha mawasiliano, anauliza mbona unipigiii?Kaka mawasiliano ndiyo kila kitu katika uhai wa mahusiano au mapenzi au ndoa, bila mawasiliano ujue tayari ndoa imekufa hiyo!
Habari wana MMU!