Mawakili Medium Mwale na Loom Ojare ni majambazi?

IF a good lawyer is that who wins cases, THEN verdicts will always be in favour of the best lawyers.
The word 'LAW' looses meaning if these smart lawyers wanahukumiwa sababu tu ya kuwashindia kesi wateja wao.

The cort of law has no meaning kama mtu aliye fanya kosa la wazi kabisa tena kubwa na zaidi ya mara moja, inashindwa kumtia hatiani.

Naanza kuwa na mashaka na pengine nisaidiwe maana hasa ya mahakama na sheria, inocence na guilty.

Am confused.
 
Hili swali muulize pia Mabere Marando anayemtetea fisadi mmoja mahakama kuu, jambazi wa bunuki na kalamu wanafanana nia.................
 
again......udhaifu wa waleta mashtaka............unaona jinsi Hakimu Magessa alivyowatoa mkuku

...........................Mara baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili katika shauri hilo Hakimu Magessa, alitupilia mbali hoja za upande wa Mashitaka akidai, maelezo katika hati hiyo hayakueleza wazi.
Akisoma uamuzi mdogo baada ya kuahirisha kwa muda kesi hiyo, Magessa alidai, hundi zinazodaiwa kutumika kutoa na kuingiza fedha kwenye akaunti za mtuhumiwa hazikuelezwa zimetoka wapi na kwa nani.
"Hati ya Mashitaka inatakiwa ieleze au itoe maelezo mafupi kulingana na mashitaka na vipengele husika. Kama haitafanyika hivyo ni wazi mwisho wa siku nguvu ya Mahakama hupotea bure," alidai Magessa na kuongeza:
"Lakini sheria inasema lazima hati ya mashitaka iwataje au imtaje mtu ili ajulikane ni nani. Hatua hii inasaidia mlalamikaji kujua nani anayemlalamikia," alidai.
Alidai kutokana na hatua hiyo Hakimu Magessa alidai, kwamba Mahakama yake haitayapokea mashitaka hayo kuanzia la tatu hadi la 11 kutokana na makosa yalijitokeza.
"Mashitaka haya kuwa ni makubwa, hivyo napendekeza yarudishwe yaandaliwe upya ili kusiwapo na mashaka kwenye hatui mpya itakayoletwa siku yoyote skutoka upande wa Serikali.
"Sasa basi haitakuwa busara kuendelea na mashitaka ya haya hivyo naamuru mashitaka ya kwanza hadi la pili nayo yarudishwe yaje pamoja. Mtuhumiwa arudishwe mikononi mwa polisi kwani wao ndio wanataratibu za kumshikilia," alidai Magessa.............
 
hapa nchini wanasheria na mahakimu na majajii (baadhi yao) wapo kwenye mtandao wa ujambazi...........................na ndiyo maana majambazi wengi hutesa kesi zao zifikishwapo mahakamani...........kwa hiyo tusishangae Mwale hii kesi ya money laundering na accessories to international terrorism akaishinda.................................kwa sababu kinachoongea mahakamani ni vijisenti......................tatizo kubwa hakuna uwazi wa ajira za wanahaki hao na raia hatushirikishwa katika kuchambua uwezo wao wa kusimamia haki................................................bila ya Bunge kuhusika katika teuzi zao nasi kuwa na sauti tutaendelea kudhulumiwa na hao waovu...................
 
............kwa hiyo tusishangae Mwale hii kesi ya money laundering na accessories to international terrorism akaishinda....................

..........lets wait and see the next episode.............unajua kesi kama hizo ni masuala ya timings......ukichelewa tu...........unakuta mwana si wako..........and it plays both ways..........
 
..........lets wait and see the next episode.............unajua kesi kama hizo ni masuala ya timings......ukichelewa tu...........unakuta mwana si wako..........and it plays both ways..........
.....we are waiting... and ...
 
Wanabodi,

Naomba tujadili hii mada. Mawakili mabwana Medium Mwale na Loom Ojare ni maarufu sana mjini Arusha hasa katika kutetea majambazi mahakamani, tena wana ujasiri wa kutosha sana wa kuwatetea majambazi wanaokamatwa kwenye tukio. Hawa ndio waliosimamia rufaa ya Bw Nyari hadi akafutiwa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kufuatia kupatikana na hatia ya ujambazi wa kutumia silaha.

Hawa hawa Ojare na Mwale ndio wanaowatetea wale majambazi wawili waliopambana na polisi kwa masaa 6 katika nyumba ya Bw Chonjo kule Njiro walikokuwa wamejificha baada ya kupora na kuua kwenye benki ya NMB Mwanga. Hawa pia wamewatetea majambazi waliopora sh bil 4 NBC Moshi mwaka 2004. Na katika tukio moja mtuhumiwa mmoja wa ujambazi sugu aliyekuwa anatafutwa na polisi aliwahi kukamatwa akiwa nyumbani kwa mmoja wa mawakili hawa, wakili alipobanwa na polisi akadai ni mpangaji wake.

Na zipo kesi nyingine nyingi tu za watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha katika mahakama kuu kanda ya Moshi na katika mahakama za hakimu Mkazi Moshi na Arusha ambazo mawakili hawa wanasimamia. Ukisikia kuna tukio la ujambazi wa kutumia silaha na majambazi wamekamatwa Moshi au Arusha, kama ni majambazi sugu wale wanaofahamika hata na wenyeji, fuatilia utasikia pia kuwa mawakili wao ni Loom Ojare na Medium Mwale.

Ukisikia benki imevamiwa Moshi na kuporwa mabilioni, fuatilia nani wakili wa watuhumiwa mara wakamatwapo; Loom Ojare na Medium Mwale. Sijui kama wana kesi nyingine za wasiotuhumiwa ujambazi. Je kuna uhusiano wowote (zaidi ya umahiri katika sheria) kati ya mawakili hawa na majambazi wauaji? Je hawa jamaa nao pia ni majambazi au washirika wao?

Hebu naomba tujadili hii mada maana kuna watu wameshaanza kupoteza imani si tu na mawakili hawa, bali pia na mfumo wetu wa sheria kwa ujumla. Naelewa katika nchi zilizoendelea kuna mawakili ambao wamejikita katika aina fulani za kesi na kuwa mahiri na wa kutumainiwa kwa mfano katika kesi za murder, fraud, divorce, blasphemy, n.k, ambapo yeyote mwenye kesi ya namna hiyo huwafuata mawakili hao. Je ni hivyo kwa hawa Mwale na Ojare au kuna zaidi?

Nafahamu pia huu usemi: "A bright lawyer knows the law (might be LL.B Hons first class) but a smart lawyer knows the judge" (might have passed his law degree very poorly and by sheer luck, but wins cases by all means!) Hawa jamaa wako upande upi hapa?

Naomba tujadili, mwenye ushahidi wowote hata wa kimazingira atuwekee hapa. Asanteni.
Duh!
Labda ni wabobezi kwenye kutetea majambazi!
 
Mtu Aliyekamatwa Live Kwenye Tukio, Tena Akirushiana Risasi Na Polisi, Kwa Nia Ya Kutaka Kuwaua.

Je ingekuwa wewe ni Wakili na ambaye umethibitishiwa hayo, ungeweza kumtetea simply ana haki hiyo kisheria? Hawa jamaa lazima wawe na ubia na hao majambazi, In One Way Or Another. After All Lazima Ueleze Mambo Openly Ili Wakili Aweze Kukusaidia.

Hivyo Hawa Mawakili Huwa Wanaelezwa Kabisa Na Haya Majambazi Kila Kitu, Halafu Ndiyo Wanachukua Hizo Facts And Figures Kwa Ajili Ya Kwenda Kuzitetea Mahakamani. Yaani Hata Ile Collaboration Yao, Kwa Maana Ya Kuwatetea Majambazi, Kunawaqualify 100% Kuwa Ni Majambazi. Hivi Kweli Tutafika?
Kwa hiyo ikitokea jambazi anajeruruhiwa kwa risasi akienda hospital aachwe afe??
 
Unadhani kwenye kesi ya uporaji wa billion 4 wanalipwa Shs ngapi?
Je kesi ya wizi wa ng'ombe?
Mgao wa billion nne unaweza kutembea kwa mwendesha mashitaka hadi Hakimu/Jaji. Lazima waachiwe tu
 
Wanabodi,

Naomba tujadili hii mada. Mawakili mabwana Medium Mwale na Loom Ojare ni maarufu sana mjini Arusha hasa katika kutetea majambazi mahakamani, tena wana ujasiri wa kutosha sana wa kuwatetea majambazi wanaokamatwa kwenye tukio. Hawa ndio waliosimamia rufaa ya Bw Nyari hadi akafutiwa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kufuatia kupatikana na hatia ya ujambazi wa kutumia silaha.

Hawa hawa Ojare na Mwale ndio wanaowatetea wale majambazi wawili waliopambana na polisi kwa masaa 6 katika nyumba ya Bw Chonjo kule Njiro walikokuwa wamejificha baada ya kupora na kuua kwenye benki ya NMB Mwanga. Hawa pia wamewatetea majambazi waliopora sh bil 4 NBC Moshi mwaka 2004. Na katika tukio moja mtuhumiwa mmoja wa ujambazi sugu aliyekuwa anatafutwa na polisi aliwahi kukamatwa akiwa nyumbani kwa mmoja wa mawakili hawa, wakili alipobanwa na polisi akadai ni mpangaji wake.

Na zipo kesi nyingine nyingi tu za watuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha katika mahakama kuu kanda ya Moshi na katika mahakama za hakimu Mkazi Moshi na Arusha ambazo mawakili hawa wanasimamia. Ukisikia kuna tukio la ujambazi wa kutumia silaha na majambazi wamekamatwa Moshi au Arusha, kama ni majambazi sugu wale wanaofahamika hata na wenyeji, fuatilia utasikia pia kuwa mawakili wao ni Loom Ojare na Medium Mwale.

Ukisikia benki imevamiwa Moshi na kuporwa mabilioni, fuatilia nani wakili wa watuhumiwa mara wakamatwapo; Loom Ojare na Medium Mwale. Sijui kama wana kesi nyingine za wasiotuhumiwa ujambazi. Je kuna uhusiano wowote (zaidi ya umahiri katika sheria) kati ya mawakili hawa na majambazi wauaji? Je hawa jamaa nao pia ni majambazi au washirika wao?

Hebu naomba tujadili hii mada maana kuna watu wameshaanza kupoteza imani si tu na mawakili hawa, bali pia na mfumo wetu wa sheria kwa ujumla. Naelewa katika nchi zilizoendelea kuna mawakili ambao wamejikita katika aina fulani za kesi na kuwa mahiri na wa kutumainiwa kwa mfano katika kesi za murder, fraud, divorce, blasphemy, n.k, ambapo yeyote mwenye kesi ya namna hiyo huwafuata mawakili hao. Je ni hivyo kwa hawa Mwale na Ojare au kuna zaidi?

Nafahamu pia huu usemi: "A bright lawyer knows the law (might be LL.B Hons first class) but a smart lawyer knows the judge" (might have passed his law degree very poorly and by sheer luck, but wins cases by all means!) Hawa jamaa wako upande upi hapa?

Naomba tujadili, mwenye ushahidi wowote hata wa kimazingira atuwekee hapa. Asanteni.
Askari Magereza naye ni mfungwa? Ukijibu hili mada yako itakuwa imekwisha!
 
Taaluma ya Uwakili inarandana na ya udaktari. Kama ilivyo kwa madaktari huwatibu majambazi yanayopelekwa kwao na polis au RAIA ndivyo hivyo hivyo mawakili huwatetea watuhumiwa wanaokwenda kwao kutaka msaada wa kisheria
 
ndio hadi majambazi yakisakwa na polisi yakutwe nyumbani kwa wakili? yaani majambazi na wauaji wote basi wawe na mawakili wawili tu wanaowatetea? lazima kuwe na jambo na mahusiano ya karibu sio burebure.
 
Kuna kazi nyingine zinafanana na za watoza ushuru wa kwenye Biblia...
Hii kazi nilishaona kuwa siyo... kitambo tu...maana wanashiriki sana kusema uongo kwa maslai yao...
 
Back
Top Bottom