Mawakili (legal advocates) tendeni haki kwa wateja wenu, wambieni ukweli wa mashauri yao

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,387
81,207
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.

Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA HUWEZI KUSHINDA. Lakini unakuta Wakili anaipokea na kula hela za mteja!

Kuweni wakweli kwa wateja wenu muda mwingine. Fedha hamtakwenda nazo kwa Mungu (as per mama samia)
 
Sasa Kama mteja mwenyewe ndiyo analazimisha kesi utafanyaje na wwe wakati huo huo unashida ya pesa, inabidi ukubali tu japokua unajua kabisa mnaenda kushindwa huko mbele!!
 
Wakati mwingine wateja wanachanganya bhana.
Picha linaanza, umeenda kwenye kesi ya talaka halafu cha ajabu mke na mme (watalaka) wanaonekana mahakamani wamevaa sare zao za vitenge. Wakili unajiuliza hapa nimekuja kuomba kutenganisha ndoa (taraka) au nimekuja kubariki ndoa.
Aisee, hamuwajui clients nyie - tulieni kabisa!!
 
Ni kweli kuna baadhi ya wateja wao ndiyo wanakua vingangaanizi wa kuendeleza kesi,na vile vile kuna baadhi ya mawakili hawafuati misingi na maadili ya kazi zao,wao wanachoangalia ni mkwanja tu,na wako radhi hata kuleta ushahidi wa uwongo ili mradi ashinde kesi kiujanjanja tu!!
 
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.

Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA HUWEZI KUSHINDA. Lakini unakuta Wakili anaipokea na kula hela za mteja!

Kuweni wakweli kwa wateja wenu muda mwingine. Fedha hamtakwenda nazo kwa Mungu (as per mama samia)
Naunga mkono hoja!.
P.
 
Kwa mahakama za Tz kushinda kesi hakutegemei Sheria inachosema pekee..
Wahenga waliona mbali waliposema:-
'Penye udhia penyeza rupia'
 
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.

Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA HUWEZI KUSHINDA. Lakini unakuta Wakili anaipokea na kula hela za mteja!

Kuweni wakweli kwa wateja wenu muda mwingine. Fedha hamtakwenda nazo kwa Mungu (as per mama samia)
Kwanza kabisa tukubaliani kwamba Mahakama ndio ambayo inaamua iwapo Kesi umeshinda au kushindwa.Pili kazi ya wakili na kumuwakilisha Mteja wake.Katika uwakilishi huo kuna mahitaji ya msingi ya mteja ya kisheria.So wakili anaweza kumwelewesha mteja juu ya ugumu wa kesi na kadiri kesi inavokuwa ngumu pia ndio na gharama/bei ya wakili inazidi kuwa kubwa.

Mengine tuiachie sheria.Nakumbuka kuna mawakili ambao walikuwa maarufu kwa kuwatetea wahalifu wa kesi motomoto kama za ujambazi etc na walikuwa wanajua kabla tukio halijafanyika kwamba kama mambo yataenda mrama watakuepo kuwatetetea na wengine walifanikiwa kushinda.

Mimi bianfsi wale mawakili ambao huwa wanashuri mteja wao akiri akitaka kupata huruma ya mahakama huwa nawaona sio mawakili bali ni matapeli.Kazi ya wakili ni kucheza na sheria pamoja mfumo wa sheria na kutafuta udhaifu wa ushahidi,sheria etc ili kutikisa uzito wa kesi.Bila kujali iwpo kesi ni ngumu au mteja wako ana hatia au la.
 
Nyie ndiyo wale Mawakili kanjanja mnao wapa Rushwa Mahakimu ili mradi Sheria ipindishwe ili mshinde kesi! Na msivyokua na haya hadi hilo fungu la Hakimu unaliomba kutoka kwa mteja wako! Msijasahau sana, kuna Mkono wa Mungu pia!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.

Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa hatutoboi maana sheria iko wazi , kuwa hii ni uphill battle due to time limitation, ITAKUBANA HUWEZI KUSHINDA. Lakini unakuta Wakili anaipokea na kula hela za mteja!

Kuweni wakweli kwa wateja wenu muda mwingine. Fedha hamtakwenda nazo kwa Mungu (as per mama samia)
Mimi nadhani, ingetengenezwa Sheria, wakili ashtakiwe Kwa kushindwa kesi. Zen kesi aliyoipoteza itizamwe na jopo la mawakili, na ikiwa kesi husika ilikua na dalili za wazi za kumkuta mteja wake Yuna hatia, afutiwe license
 
Usemacho ni sahihi mkuu,lakini vipi kwa madaktari nao maana unakuta mgonjwa yu mahututi na hatoboi hivyo mgonjwa asitibiwe au kwa sisi walimu unakuta Toto ni jinga yaani nanga kabisa na unajua hili lazima lipate zero hivyo tusilifundishe!?

Mwisho wa siku uwakili na mawakili kwa ujumla ni biashara hivyo ukiwa na namna hiyo utakula nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Usemacho ni sahihi mkuu,lakini vipi kwa madaktari nao maana unakuta mgonjwa you mahututi ja hatoboi hivyo mgonjwa asitibiwe au kwa sisi walimu unakuta Toto ni jinga yaani nanga kabisa na unajua hili lazima lipate zero hivyo tusilifundishe!?

Mwisho wa siku uwakili na mawakili kwa ujumla ni biashara hivyo ukiwa na namna hiyo utakula nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yes iwe Ivo Kwa madaktari, hata wataalamu wengine
 
Back
Top Bottom