Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 51,705
- 48,255
Mmmh, mwaka ndio kwanza mbichi. Ushauri wa bure kwa ke na me: vaeni mavazi yanayositiri maungo yenu.
Maadili ndugu yangu eti kwenda na wakati hata mbele za Mungu. Na wakati wenyewe ndio huo wa kutembea nusu uchi. Kweli hizi zama ni zaidi ya sodoma na gomora. Tatizo jamii haioni labda imejichokea kufunza maadili mema.
na hizo nazo waningia nazo kumbe basi we tongoza tu..... kwa hiyo kipapa chote kimekaa jujujuuu hahaha mnalomhm wengine wanaingia na hivi vi-condom mnavyoita leggings basi mbuye yote unaichora lol
Wagalatia akili hawana wanahalalisha mpk ndoa za jiinsia moja,
Hizi aya za qur'an zilishuka kwa ajili ya ng'ombe jike la rangi ya manjano, na kwa ajili ya wadudu, na vichuguu ndio maana binadamu wakizifuata wanageuka misikule, Mazuzu, na mazezeta.
Mkuu usitudanganye hizi zama hazijafikia za sodoma na gomora...tumuombe Mungu tusifike huko maana sijui itakuaje, kuvunjika kwa maadili ktk jamii kunachangiwa na sababu nyingi sana, mfano science & technology development inasaidia sana kurahisisha maisha ila ukweli ni kwamba ndo inayotufanya tuwe mbali na mungu wetu
Personally I hate to see mavazi wanayovaa wadada church yanaweza yakakuondoa kabisa ktk ibada na kingine kinachonikera ni matumizi ya gadgets kanisani
Nimeshasoma na nimegunduaSoma Qur'an :33:59
Nyie ndo wale mkiitwa magaidi mnakataa mnanyooshea vidole wengine mnawaita extremist ila kwa wagalatia mnajumuisha wote mnasahau kuwa kama mlivyo nyie na makundi yenu tofauti na ndivyo walivyo hivyo hivyo hao mnaowaita wagalatia kuna wakotolic, anglican, pentecost, lutheran n.k
Mwenyezi mungu alimuuliza adamu kuwa 'nani amekwambia uko uchi?' Na mimi nikuulize mleta uzi 'je ninani amekwambia kuwa wako uchi?' Ni lazima una pepo la ngo.. linalokuongoza! P'se likemee! Je ukiwaona mabushmen si utazimia? Hivyo vijinsi vyako unavyovaa zaman havikuwepo! Kumbuka mungu ni roho nao wamwabuduo wanamwabudu ktk roho na kweli!
Tutawapeleka kwa Tapeli Gwajima hao misukule !
Watazamaji na wafuasi ni Mazuzu na Mazezeta.
Allah a.k.a shetani mkuu ndiye anaye
Watuma mashetani chini yake wawakoseshe unaowaita makafiri,
Wewe je? Uoni kwamba Allah a.k.a shetani ndiye msababishaji wa madhambi yote duniani?
2Na kwanini badala ya kuwalaumu watenda madhambi msimlaumu Allah anayewafanya watu wafanye madhambi?
Naona Mgalatia unajitoa fahamu !
Unatundika aya ambazo zinakunanga wewe mwenyewe na ukafiri wako.
Teh teh teh!mkuu hapa ilikuwa shuleni au baa!
Unashangaa hayo makanisa mengine wanaingia uchi kabisa:
The Naked Church
At Ivor Church, Clothing Is Optional
Naona Mgalatia unajitoa fahamu !
Unatundika aya ambazo zinakunanga wewe mwenyewe na ukafiri wako.
Kwan kila mleberali anauwezo wakuingilia? Wengne wakuingiliwa tu kama vp sema tulete posaMimi mliberali,kwani nilishawahi kukuingilia?
Kwan kila mleberali anauwezo wakuingilia? Wengne wakuingiliwa tu kama vp sema tulete posaMimi mliberali,kwani nilishawahi kukuingilia?
Nimeshasoma na nimegundua
Hizi aya za qur'an zilishuka kwa ajili ya ng'ombe jike la rangi ya manjano, na kwa ajili ya wadudu, na vichuguu ndio maana binadamu wakizifuata wanageuka misikule, Mazuzu, na mazezeta
Kwan kila mleberali anauwezo wakuingilia? Wengne wakuingiliwa tu kama vp sema tulete posaMimi mliberali,kwani nilishawahi kukuingilia?