Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,256
Mmh inauma kwa kweli ila kwa upande wangu siwezi kufananisha kuachwa na maumivu ya msiba ya wapendwa wangu. Wewe niache tu
Mi nashukuru Mungu hajanipa moyo wa kupenda kiasi hicho..Pole sana mdau
Teh teh..Kumbe tuko wachache..Nilikuwa silijui hilo..Ni wachache sana tuliobaki......ni specie adimu ujue.....tunatafutwa kama sample......
Teh teh..Kumbe tuko wachache..Nilikuwa silijui hilo..
Pole Mkuu,.ila huwa hatukumbuki kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo letu ndio Maana yanatupata haya tunaumizwa/tunaumiza baada ya kutendwa ndo tunapokumbuka kwenda makanisani/msikitini lakini naamini tunajifunza kutokana na makosa yetu...."tumkumbuke muumba cku za ujana wetu,.mhubiri amesema!!!
Here we go
[gv]7372898520485078084[/gv]
Hebu niadisie ilikuwaje maana sijui kwa nini upende hivyo.......dunia ina watu bil 9.5....na zaidi.....ukipenda huyo mmoja kiasi hicho hao wengine watapendwa na nani......?......
Nimewah fiwa mkuu,ndo maana nmeongea kutokana na uzoefu nilo pitia