Yussuf senga7
Member
- Jul 25, 2022
- 6
- 3
Nina matatizo ya maumivu ya mgongo saiv inaweza kuchukua ata miaka mi3 waga unauma unaacha kwa yyt anaeweza nisaidia ushauri au dawa naomba anisaidie
duuuuh, sijawahi kutumia dawa zako ila nilikuwa nina imani na maelezo yako. Ila kwa hapa nakiona ni walewale tuwangapi nimewatabia na wamepona itakuwa huyu anaye kuja kulalamka hapa jukwaani? Tuone basi kama atampata mtu wa kuweza kumtibia maradhi yake.
Tumia vidonge vya organic calcium. Ni upungufu huo tu.Nina matatizo ya maumivu ya mgongo saiv inaweza kuchukua ata miaka mi3 waga unauma unaacha kwa yyt anaeweza nisaidia ushauri au dawa naomba anisaidie
Hivyo vidonge vinaweza kusaidia pia mtu aliyefanyiwa dozi ya chemotherapy Anapata maumivu makali ya mgongo na kiuno baada ya kumaliza matibabuTumia vidonge vya organic calcium. Ni upungufu huo tu.
Kama huvipati ulipo mpigie huyu dkt akuagizia 0719794789.
Mimi pia nilikua na hilo tatizo nimepoma aslam
Nimeshapima kila kitu ugonjwa hauonekaniMaumivu yakizidi, muone daktari.
Unatakiwa unyooshwe vizuriHabari zenu wadau,samahani naomba Kama Kuna anayejua dawa ya maumivu ya mgongo na kiuno,anisaidie ninapata maumivu mno hadi nashindwa kuinama,asanteni.
Dogo!
Nimekuwa na tatizo kama hilo, kwanza inaweza kuwa infection, kama homa ya mifupa, ambayo inaweza kutibika kama ukipewa hizo dawa ulosema, vile sasa inakaa dawa hizo zimeshindwa, hapo inakuwa msagano wa 'vertebrae' hua grease zake zinakwisha, mie nimesumbuka lakini Doctor mmoja rafiki yangu aliniandikia dawa hii....Zyrtal MR, uliza wenye kuuza dawa dosage yake.
Natumai zitakupa Afueni!!!
Jamanh am having the same problem tena mimi ni both upper and lower back zinauma balaa, nikikaa, kusimama na kulala hakuna afadhali,kuna mtu kanambia nikamuone dr bake pale mail moja I heard ni doc mzuri wa mifupa, u can join me.
Nimesumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu pamoja na nyonga. Kati kati ya mwezi wa 7 nilianza mazoea ya kuamka saa 11:30 alfajiri na kukimbia taratibu kwa 30 minutes kila siku.
Nimesahau kabisa maumivu!
Pole sana i have the same...ulipona?Habari zenu Wana jamvi,msaada naomba mwenye kujua dawa ya maumivu ya mgongo na kiuno,vinanisumbua Sana nashindwa Hadi kuinama,nimepima UTI na fangasi lkn hamna,pls mwenye kujua dawa ya asili naomba anijuze,asante